Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
-
- #21
Kwa maana hiyo miundombinu ya vyuo vingi ni imezidiwa au kupitwa na idadi ya sasa na hawajaboreshaMkuu, hapo US kaangalie idadi ya vyuo vyao na uwezo wake. Mfano chuo kikuu cha jimbo la Arizona kina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa vyuo vingapi hapa Tanzania?.
Kozi za afya mfano Muhas kuna kozi wanachukua wenye divisiรณn one ya 3 pekee maana unakuta hiyo kozi chuo kina uwezo wa kufundisha wanafunzi 20 pekee. Wakizidisha hiyo idadi,TCU watawapiga rungu.Angalia kozi za afya hapo nilipotolea mfano mkuu
Wapi utapata kwa division 3?
Hata hiyo 1.5 wanakosa sembuse 3?
Je binti huyo aliomba nini hasa?
๐๐๐ nimeshamaliza mda sana.waziri alichomaanisha ni kuwa vijana waache kukimbilia vyuoni tu
Badala yake waende VETA
Sasa wewe tunajua hujamaliza chuo siku nyingi ni hapo majuzi kati miaka hii hapa ya kati
Hivyo ulitakiwa kwenda VETA tu na sio ku apply chuo hapo UD๐คฃ
๐๐๐ hili nalo muhimu.Suluhisho hapo ni serikali iboreshe vyuo vyetu vya umma kwa kupanua miundombinu ya vyuoni na kuongeza idadi ya Lecturers and other staffs ili kuweza kuaccommodate nyomi la wanafunzi wanaomaliza form six kwa sasa
Ila tatizo pia watoto wanataka kusoma vyuo vyenye majina makubwa wakati vyuo kama SAUT,RUCU etc..... vina uhitaji mkubwa wa wanafunzi
Kwa maana hiyo miundombinu yao michache kufundisha zaidi ya hao 20?Kozi za afya mfano Muhas kuna kozi wanachukua wenye divisiรณn one ya 3 pekee maana unakuta hiyo kozi chuo kina uwezo wa kufundisha wanafunzi 20 pekee. Wakizidisha hiyo idadi,TCU watawapiga rungu.
Ndo uwezo wao ulipofikia mkuu, wafanyeje?. Mfano pale Muhas main campus( kama ushawahi kufika) pale ni padogo sana, hawawezi kuchukua wanafunzi wengi. Sasahivi ndio maana wameenda kujenga campus nyingine Kigoma huko.Kwa maana hiyo miundombinu ya vyuo vingi ni imezidiwa au kupitwa na idadi ya sasa na hawajaboresha
Imagine course moja wanachukua wanafunzi 10
Unaelewa maana ya competition? Course alzioomba hazina ushindani ndo maana yani div 3 serious wakati mwaka juzi tu hapo 2 kupata chuo ni mtiti labda ukasome beekeepingSi kweli, kuna binti wa rafiki yangu, amepata div 3, HGE na vyuo vyote 5 alivyoomba alipata; Ardhi, IFM, SAUT,MUCO, Mwenge.
Ndio mkuu.Kwa maana hiyo miundombinu yao michache kufundisha zaidi ya hao 20?
Shida ndio hiyoSuluhisho hapo ni serikali iboreshe vyuo vyetu vya umma kwa kupanua miundombinu ya vyuoni na kuongeza idadi ya Lecturers and other staffs ili kuweza kuaccommodate nyomi la wanafunzi wanaomaliza form six kwa sasa
Ila tatizo pia watoto wanataka kusoma vyuo vyenye majina makubwa wakati vyuo kama SAUT,RUCU etc..... vina uhitaji mkubwa wa wanafunzi
Sasa nani hataki kusoma chuo chenye jina jamani๐๐๐. Nani hataki kwenda chuo cha Dar??.๐๐๐ hili nalo muhimu.
๐๐๐Unaelewa maana ya competition? Course alzioomba hazina ushindani ndo maana yani div 3 serious wakati mwaka juzi tu hapo 2 kupata chuo ni mtiti labda ukasome beekeeping
Angalia kozi za afya hapo nilipotolea mfano mkuu
Wapi utapata kwa division 3?
Hata hiyo 1.5 wanakosa sembuse 3?
Je binti huyo aliomba nini hasa?
Hilo ni jukumu la wizara maana wana takwimu za idadi ya wanafunzi wanaohitimu kila mwaka na idadi ya vyuo .Shida ndio hiyo
Lakini pia vyuo vingi vimeshazidiwa uwezo wa kupokea wanafunzi bado wanaishi enzi za miaka ya nyuma ambapo wasomi walikuwa wachache
Nimekumbuka class letu advance, kila mtu anataja UDSM, na kweli wanafunzi karibu robo 3 waliingia UDSM, wachache sana wakaenda DIT na MUST.Sasa nani hataki kusoma chuo chenye jina jamani๐๐๐. Nani hataki kwenda chuo cha Dar??.
Maisha ni sanaa, kuna wengine ni viongozi ata mlango wa chuo kikuu hawajakanyaga. Muhimu hapa, ni kutafuta fani isiyo na ushindani, kama unataka fani yenye ushindani tafuta vyuo mbalimbali na si kutegemea kwenye chuo kimoja unachokitaka wewe.Unaelewa maana ya competition? Course alzioomba hazina ushindani ndo maana yani div 3 serious wakati mwaka juzi tu hapo 2 kupata chuo ni mtiti labda ukasome beekeeping
Badala yake eti waende VETA wakati yeye mwenyewe hapo majuzi kati kamaliza UDSasa nani hataki kusoma chuo chenye jina jamani๐๐๐. Nani hataki kwenda chuo cha Dar??.
Je; Kuongezeka kwa huo ufaulu ni ule Ufaulu wa kweli au ni ufaulu wa wa kutumia mbinu batili?I salute you kinsmen.
Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta
Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana
Kumaliza form six sio kufaulu form six.Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo.
Ndo kazi yake. TCU wapo vizuri kwenye hilo na bado wanatakiwa waviheshimishe vyuo vyote vya hapa Tz.Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi
Anaruhusu vipi vyuo.viweke strictly qualification and minimum entry?
Safi kabisa. Chuoni sio unaenda kuchukua Deg. bali unaenda kusoma masomo kiwango stahiki cha Deg.Sikuhizi vyuo almost vyote wanataka wenye division 1 tu tena ile.kali kabisa kabisa.
Sawa. Kama wapo wenye 1.0 hamsini(50) na darasa linauwezo wa wanafunzi 30 sioni kwanini wahangaike na huyo wa 1.5.Nimeshuhudia madogo wengi wakikosa vyuo mfano kwa chuo kimoja kikubwa hapa Dodoma. mtoto mwenye 1.5 Law amekosa
Mbona pa kwenda ni pengi tuu? Vyuo vipo vingi, Taasisi za kielimu zipo nyingi hata veta nao wapo.Sababu vyuo vingi sasa vimepandisha qualification sana na wakati wanajua serikali inazalisha wahitimu wa form six wengi kila mwaka je waende wapi??
Sheria na procedures kutoka TCU ndo hizo - kuweka chujio kali.Ni kweli vyuo viko independent kujiendesha lakini lazima vifuate sheria na procedure kutoka TCU
Like father, like son. Mkuu; laiti ungelipita-pita huko vyuoni ukajionea yanayoendelea huko -Ungeshangaa.hapo Morogoro nako kuna chuo kikubwa tu kinapinga sana panga wanafunzi hata wenye wenye 1 nzuri tu nao wanapigwa panga.
matokeo yake hata vyuo vidogo navyo vinaiga utaratibu huu huu wa kuchuja sana wanafunzi bila sababu za mashiko
Akijitahidi katika hio ndoto yake ataweza. Lakini hii ya kufuata mkumbo na kukwepa kozi ngu ndo hilo. Zamani walisema unaenda kusoma nguini (masomo ya Arts) ili upate Deg at room temperature.Kwa sasa form six kama mwanao ameshindwa kupata division 1 basi usitegemee kama atasoma chuo cha ndoto zake.
Sawa lakini kama ingekuwa sio kimchongo-mchongo ; hao wanaorudi kutoka nje wakipewa ile Qualifying Exam. wengi wao wanafeli jumla.kwa mantiki unaelewa kwanini Wenye pesa hupeleka watoto wao nje wakasome.
Mbona pa kwenda ni kwingi tu broo? Hata Upolisi ???Karibu wanafunzi zaidi ya elfu 10 nchi nzima wanamaliza kila mwaka na je waende wapi ikiwa kila chuo kinataka wenye 1 tu?
Ni swali zuri sana esp. ukizingatia hapo juu nimesema sio wote wanaomaliza F6 wamefaulu. Huko shuleni zipo mbinu nyingi sana za udanganyifu. Kijana tangu ameanza A-level, kwenye continuous assement ni mwendo wa C,D, halafu leo ghafla bin vuu anapata A National Exam. Lazima ujiulize.Na hata wenye hiyo 1 wanapigwa panga sana?
Ndo hizo Fake.Mwanzo ilikuwa wanaangalia ufaulu wa mwaka huo lakini hii sio moja ya condition tena maana sikuhizi madogo wanafuulu sana one zipo kama uchafu .
Hiyo ni hiari yake. Sio lazima kijana aende chuo.Lakini asilimia kubwa wanakosa vyuo wanavyoomba au kozi husika na wengine kuamua kubaki nyumbani mwaka mzima
Yes; Kongole kwao. Hakuna binadamu wa kuchezewa-chezewa Afya yake na vijana wanaoshinda huko Tiktok.hasa hasa kozi za afya vyuo vimekuwa na kasumba hii. Kuna chuo kipo Dar kimekuwa na tabia hii kwa miaka mingi sana
Kwa sasa unaweza kusema hivyo lakini siku likikukuta la kutokana na kupata huduma ya Wahitimi substandard (Not competent) waliotoka vyuoni utaelewa. Siku hizi Taaluma imekaa kisiasa zaidi kitu ambacho ni hatari kubwa kwa mustakabali wa Uhai na Ustawi wa jamii pia kwa Maendeleo ya Taifa letu.Na tunapolekea sio pazuri hata kidogo.
Pancho; I am Sorry for the disturbing reactions
Lakini mbaya zaidi now wanafunzi wameshakuwa wengi sana na bado cutting points ni hizo hizo tuHaya mambo tangu hapo yalikuwepo. Mfano wakati ninajiunga Udsm cutting point ya Sheria ilikuwa ni division 1.7 na course nyingine kwa ujumla wake ilikuwa mwisho ni division II.12
Umeona ee, wote mkaenda vyuo vyenye majina. Halafu sasahivi umwambie kijana eti aende TEKU kwa sababu hata TEKU ni chuo๐๐๐Nimekumbuka class letu advance, kila mtu anataja UDSM, na kweli wanafunzi karibu robo 3 waliingia UDSM, wachache sana wakaenda DIT na MUST.
๐๐๐๐