Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

I salute you kinsmen.

Kuna kasumba imekuwa kubwa
Nashindwa kuelewa kama ulijaribu kufanya tafakari ya hiki ulichokiandika.

Fikiria unauwezo wa kudahili wanafunzi 40 kwenye programme X. Sasa wameomba 1000. Jifanye wewe ni chuo M. Niambie utatumia njia gani ya kupata hao wanafunzi 50 kujaza nafasi ulizonazo bila kutumia mchujo wa ufaulu.
 
Unaogopa nini kutaja UDOM, SUA, na MUHAS?
hadi unazunguka sana hivyo? Shida ni hiyo 1 kuwa nyingi, si mnaona sifa kufaulisha hovyo, matokeo yake ndio hayo.
Ufaulu kama matokeo ya ccm! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ 98% huku wengine wapiga kura wanajazwa kwenye makaburi ya halaiki ! noma sana, hizo one hata uwezo wa kujielezea tu ni sifuri!
 
Ufaulu kama matokeo ya ccm! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ 98% huku wengine wapiga kura wanajazwa kwenye makaburi ya halaiki ! noma sana, hizo one hata uwezo wa kujielezea tu ni sifuri!
Watu mmechafukwaa kwa kweli.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu; Itoshe tu kusema; kwa sasa hivi kila kitu kwenye Tasnia ya Taalma na Elimu kwa ujumla ni vurugu-mechi. Ni Mungu atusaidie au Aturehemu tujitambue kama nchi na tukubali kujirekebisha na kuziacha njia zetu potofu ambazo ndo zimetufikisha hapa. Hivi hujawahi kujiuliza inakuwa Prof. aliyekubuhu katika fani yake anaacha Chuo anaenda kugombea Ubunge na Kijana/Mtu aliyepata D Form four?
Mifumo iliyopo inawa-favour sana wenye nacho na kutuacha Hoi sisi ngurumbili.
 
Umeandika upuuzi tu, utakuwa umelewa!
 
Unaogopa nini kutaja UDOM, SUA, na MUHAS?
hadi unazunguka sana hivyo? Shida ni hiyo 1 kuwa nyingi, si mnaona sifa kufaulisha hovyo, matokeo yake ndio hayo.
Hata UDSM wanafanya hivyo.

Na mimi nataka kuwatia moyo viongozi wa hizo taasisi, wakomae na moyo huo huo.
 
Madogo wakaze buti kuna muda ufaulu unakuwaga mkubwa, kiasi kwamba one ya saba anaomba kusoma sheria UDSM, Mzumbe wanampiga chini first selection au mazima. Vijana ni wengi ila capacity ya vuyo kuimiri idadi yao ni ndogo.
 
Read between the lines kaka

Thanks
 
Afrika tunazaa, idadi ya watoto wanaozaliwa Nigeria kwa mwaka mmoja ni kubwa kuliko idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye bara zima la Ulaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaogopa nini kutaja UDOM, SUA, na MUHAS?
hadi unazunguka sana hivyo? Shida ni hiyo 1 kuwa nyingi, si mnaona sifa kufaulisha hovyo, matokeo yake ndio hayo.
Mbona huku vyuoni hatuoni matokeo ya hizo one, wapo wa kawaida sana hata kuandika essay iliyonyooka hawawezi
 
Afrika tunazaa, idadi ya watoto wanaozaliwa Nigeria kwa mwaka mmoja ni kubwa kuliko idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye bara zima la Ulaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bado lakini population kwa namna yoyote lazima iongezeke
๐Ÿคฃ
 
Madogo wakaze buti kuna muda ufaulu unakuwaga mkubwa, kiasi kwamba one ya saba anaomba kusoma sheria UDSM, Mzumbe wanampiga chini first selection au mazima. Vijana ni wengi ila capacity ya vuyo kuimiri idadi yao ni ndogo.
Lakini kibaya zaidi sikuhizi wengi wanafaulu inabidi kuchagua wachache wenye one kali kabisa zile
 
Na bado wanakurupuka tu watu waende VETA kufanyaje ikiwa hata ukimaliza hujui unaenda wapi? Mfumo unakutupa kote?

Mtu akiamua ajiajiri challenges nyingi kodi kama utitiri sasa aende wapi?

Wasomi wanakimbilia kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ