Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Tena wao wangependa Dkt. JPM awe Rais muda wote kwa sababu ukweli ni kwa ndiye kiongozi mzalendo namba moja katika nchi iliyokuwa hapo awali imetawaliwa na rushwa, ufisadi, uhujumu-uchumi, utakatishaji-fedha, ukwepaji-kodi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na uwajibikaji mdogo na migogoroWananchi wamechoka kusema mitano tena
migogoro imeisha kilicho baki ni utekelezaji kazi iendeleeeTena wao wangependa Dkt. JPM awe Rais muda wote kwa sababu ukweli ni kwa ndiye kiongozo mzalendo namba moja katika nchi iliyokuwa hapo awali imetawaliwa na rushwa, ufisadi, uhujumu-uchumi, utakatishaji-fedha, ukwepaji-kodi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na uwajibikaji mdogo na migogoro
Iendelee kung'aa nchi yetu ya Tanzania na ikamilike miradi ya umeme, treni ya umeme, miundombinu mingine, huduma za maji, afya na elimumigogoro imeisha kilicho baki ni utekelezaji kazi iendeleee
elimu ni ufunguo wa maishaIendelee kung'aa nchi yetu ya Tanzania na ikamilike miradi ya umeme, treni ya umeme, miundombinu mingine, huduma za maji, afya na elimu
Maisha ya Watanzania yanaelekea kubadilika kwa kasi sana kutokana na juhudi za serikali ya awamu ya tano kuirejesha nchi katika siasa safi, ustawi na uongozi boraelimu ni ufunguo wa maisha
Bora ujishughulisha na ujitume badala ya kulalamika..Maisha ya Watanzania yanaelekea kubadilika kwa kasi sana kutokana na juhudi za serikali ya awamu ya tano kuirejesha nchi katika siasa safi, ustawi na uongozi bora
Kulalamika kwingi ni ishara ya kutotumia vema faculty ya ubongo kufikiri na kupata ufumbuzi chanya na wa haraka wa matatizo & changamoto zinazojitokeza kwenye maishaBora ujishughulisha na ujitume badala ya kulalamika..
maisha ya sasa bila kupambana utakua unawasindikiza wenzako kwenye mafanikiooKulalamika kwingi ni ishara ya kutotumia vema faculty ya ubongo kufikiri na kupata ufumbuzi chanya na wa haraka wa matatizo & changamoto zinazojitokeza kwenye maisha
Mafanikio yapo ktk kila delta wTZ tujitume..maisha ya sasa bila kupambana utakua unawasindikiza wenzako kwenye mafanikioo
Tujitume kwa bidii & weledi kufanya kazi halali yenye tija, hususan akina dada zangu waliojizoeza ^Usisahau ukaacha kutuma na ya kutolea^Mafanikio yapo ktk kila delta wTZ tujitume..
Kutolea!?Tujitume kwa bidii & weledi kufanya kazi halali yenye tija, hususan akina dada zangu waliojizoeza ^Usisahau ukaacha kutuma na ya kutolea^
Kutolea watoto na vijana kwa maadili bora kwa sababu ya uwajibikaji mdogo wa wazazi na walezi ni chanzo mojawapo kikubwa cha kuporomoka kwa maadili katika nchi yetuKutolea!?
Yetu macho kila siku tunaona vyuo vinatema wahitimu wasiokuwa na kazi huku serikali ikisema tujiajiri bila mtaji.Kutolea watoto na vijana kwa maadili bora kwa sababu ya uwajibikaji mdogo wa wazazi na walezi ni chanzo mojawapo kikubwa cha kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu
Mtaji wenyewe ndiyo elimu ambayo mhitimu kajisomea na kujichotea kwa miaka na miaka chuoni, anapohitimu ni muda mwafaka wa kuiplai huku mtaaniYetu macho kila siku tunaona vyuo vinatema wahitimu wasiokuwa na kazi huku serikali ikisema tujiajiri bila mtaji.
Mtaani wasomi tumezaulika sana kisa ujinga wa raisi wetu kujenga miundombinu bila kuitumia property centered development.angalia uwanja wa chato hauna matumizi yeyote Yale ..magufuri toa ajira watu wako tunateseka mtaani,tatizo LA ajira ni kubwa munoMtaji wenyewe ndiyo elimu ambayo mhitimu kajisomea na kujichotea kwa miaka na miaka chuoni, anapohitimu ni muda mwafaka wa kuiplai huku mtaani
Muno ndo nini? Hatujakuelewa wajumbeMtaani wasomi tumezaulika sana kisa ujinga wa raisi wetu kujenga miundombinu bila kuitumia property centered development.angalia uwanja wa chato hauna matumizi yeyote Yale ..magufuri toa ajira watu wako tunateseka mtaani,tatizo LA ajira ni kubwa muno
Wajumbe mmekuwa watata sana,sasa ambacho hujaelewa ni muno au kuna kingineMuno ndo nini? Hatujakuelewa wajumbe
Kingine ni kwamba wasomi wetu wanatakiwa wajiajiri na kuwa wabunifu katika miradi ya ujasiriamali baada ya serikali kuweka mazingira mazuri na rafiki kwa ajili ya biashara, miundombinu na huduma bora za maji, afya na elimu bora badala tu ya kuilalamikia serikali kwamba haiwapatii kipaumbele wakati inafanya sehemu yake kwa ufanisiWajumbe mmekuwa watata sana,sasa ambacho hujaelewa ni muno au kuna kingine
Ufanisi utakuwa ni mkubwa endapo wanaojifanya ofisi ni zao wakiondoshwa kazini na kupisha damu changa ziajiriweKingine ni kwamba wasomi wetu wanatakiwa wajiajiri na kuwa wabunifu katika miradi ya ujasiriamali baada ya serikali kuweka mazingira mazuri na rafiki kwa ajili ya biashara, miundombinu na huduma bora za maji, afya na elimu bora badala tu ya kuilalamikia serikali kwamba haiwapatii kipaumbele wakati inafanya sehemu yake kwa ufanisi