Wa mwisho ndiyo mshindi

Uchumi imara ni kuwa na watu wa aina yako Jasmoni Tegga haswa kabla kuongeza akiba ya maneno !!
 
Viwanda ndiyo target zetu kuwapatia Aijra
Ajira ziko nyingi sana tena kila mahali, mathalani umetaja: viwanda; pia kuna sekta ya biashara, uvuvi, ufundi, ubunifu, ujasiriamali, taaluma, sanaa, utalii, madini, kilimo & ufugaji, na mengine mengi ambayo kwa kweli zimesheheni kwenye taifa letu lenye karibu kila kitu chenye manufaa ya kubadilisha na kuboresha mfumo & hali yetu ya maisha kama wananchi
 
Wananchi wa TZ kweli wamependelewa hakika Mungu katutandikia fursa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…