Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Uchumi imara ni kuwa na watu wa aina yako Jasmoni Tegga haswa kabla kuongeza akiba ya maneno !!Yupi miongoni mwa hawa huwezi kumvumilia? --- Mkoloni anayetumia nguvu yake ya mali, umashuhuri, jeshi, uchumi na siasa ili kuitawala nchi nyingine na kunyonya rasilimali zake; mamluki anayempigia upatu mkoloni japokuwa ni raia wa nchi yenu sawa na watu wenu; msimamizi mzalendo anayesimamia matumizi sahihi ya rasilimali za taifa kwa ajili ya ustawi na ukuaji wa uchumi