Waachana siku tatu kabla ya ndoa

kuna vitu vinatia hasira utafikiri nimefanyiwa mimi

Any way hata nashindwa cha kusema maana nishapata hasira, ngoja nitakuja kusema hasira zikiisha
 
Ukiwa mbali na mkeo au mpenzi wako basi jua hapo mzee wanakupigia kinoma wahuni.Mwanamke ni ngumu kuhimili mitego ya wanaume jamani.hata akudanganye vipi we jua watu wanamgalagaza vya kutosha
 
Bila shaka hii ni Chai ya moto, kupima Ukimwi na Mimba vinaingiliana vipi au mimi ndiyo sielewi?
 
Inakera sana baba mkwe alijifanya mjanja kumbe mwanae malaya mashavu yote ya chini yamelegea kwa mitulinga hapo kwa hasira angempeleka hotel akamvunje duka tu kama na iwe mbwai na iwe mbwai
 
Piga chini hiyo mtu.
Jamaa amahukuru Mungu kamuonesha mkewe ni mtu wa namna gani, lakini pia amshukuru dkt ikiwezekana sherehe isiahirishwe ila afurahie uwepo wa Mungu kumuepushia dhahama.

Hata kama ikitokea mko pale kanisani mnaapa ukaona pasi na shaka mwenzi wako hakufai, mwambie anaewafungisha apoe kwanza ushaahirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…