Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Kumbuka machifu walishiriki biashara ya utumwa ...usiwape lawama waarabu tu
 
Hakuna watu wabaguzi duniani kama warabu ni vile tu hawana influence duniani ila wanaubaguzi kushinda kiumbe chochote kinachoishi duniani mpaka vitabu vya dini vimeelezea.
 
Unalazimisha wajiite waafrika ilhali ni waarabu! Jamaica ambao ni weusi wanaishi Amerika ya kaskazini, na hao pia wajikubali kuwa ni wazungu? Hamuna hoja za kubishana na ukweli bwana, acha ubaguzi na roho mbaya.
aliyekwambia Amerika ni Bara la Wazungu nani
Unajua maana ya mzungu?

America ni Kwa red indian na jamii zake mfano Waaztec,Wamaya,waperu,
Comanche NK NK
Jielimishe wewe!
 
aliyekwambia Amerika ni Bara la Wazungu nani
Unajua maana ya mzungu?

America ni Kwa red indian na jamii zake mfano Waaztec,Wamaya,waperu,
Comanche NK NK
Jielimishe wewe!

Nilipitiwa kidogo uko sahihi, ni red Indians, but huoni wana utofauti mkubwa na wamarekani wenyewe, mexico, n.k!

Sisi ni waAfrika,,,
Wa North pia ni waAfrika ingawa ni waarabu/weupe.
 
Nilipitiwa kidogo uko sahihi, ni red Indians, but huoni wana utofauti mkubwa na wamarekani wenyewe, mexico, n.k!

Sisi ni waAfrika,,,
Wa North pia ni waAfrika ingawa ni waarabu/weupe.
kwahiyo unapinga wale mablack kule Jamaica kujiita waamerica kisa ni weusi huku ukiunga mkono Waarabu wa Misri na Morocco kuitwa waafrika au sio huoni ni double standard,?
 
wewe waone wana roho ngumu, wenzio wanapiga maisha

Wivu unawasumbua hawa watu,,,mfanyakazi huko uarabuni analipwa hela nyingi mpaka laki tisa per month, akirudi nyumbani anajenga bonge la nyumba, wananunua viwanja halaf hapo hapo bado wanasemwa waarabu ni wabayaπŸ˜…. Huku mfanyakazi wa ndani analipwa 20000 may be mpaka 50000 na manyanyaso juu chakula chenyewe cha shida, wengine hadi wanauawa, atleast nyumba za waarabu wengine wanapiga mpaka laki na msosi wa nguvu.
 
kama wao hawajihesabu waafrica kwanini wajiunge na AU? kwanini wajiunge na CAF? watu weusi tuna matatizo mkaubwa ya kisaikolojia

Mkuu dos, utaongea yote lakini hawatakuelewa hawa viumbe, chuki ipo kwenye damu yao.. wanawapenda wazungu na mayahudi hata kama hawawathami, cha ajabu waarabu tumekuwanao karne na karne, tumeishinao, na tumeoleana, yaani tumeishinao kama ndugu vile lakini bado wanachukiwaa πŸ˜… in short wengi wao ni watu wasiojiamini,,, all the time wanahisi kubaguliwa. Huu ugonjwa mmbaya sana. Mungu atunusuru
 
kwahiyo unapinga wale mablack kule Jamaica kujiita waamerica kisa ni weusi huku ukiunga mkono Waarabu wa Misri na Morocco kuitwa waafrika au sio huoni ni double standard,?
Sawa wajiite tu waamerika lakini haibadili rangi yao, so watabaki na weusi wao na wale wa amerika wenyewe watabaki na weupe wao sijui red.,, ni kama bara letu, wa North ni wa-Afrika lakini haibadili wao kuwa weupe/waarabu. So hawa ni ndugu zetu, tuwapende pia na tuacheni kuwabagua.
 
Unatumia nguvu kubwa sana ktk kuwatetea hao waarabu. Kwani ni lazima wote tuwapende? Ukiwapenda wee inatosha khaaah.

Ajabu hao waarabu wala hawajawahi kulalamika kwa kubaguliwa kwao na wa Africa, why wee uteseke? Lazima utakua muarabu koko tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Misri na nchi kama Morroco wanajiona waarab kuliko waafrika, na mimi naona sawa tu. Ukiangalia historical background yao wako connected sana na wenzao wa mashariki ya kati kuliko sisi. Huku tu wapo kijiografia tu

Ulienda nchi zao wakakutenga? Watu wengine bwana!! Muda wote unahisi ku-tengwa/baguliwa, huu ugonjwa mmbaya sana, usipobadilika utaendelea kukutesa na hata vizazi vyako. Badilika na msiwe mnawakaririsha watoto wenu ujinga/ulimbukeni, mara oh waarabu ni makatili, waarabu walitesa babu zetu, waarabu ni wabaguzi na wametuletea dini kwa meli wakati hapo mwanzo kulikua na dini yetu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… aise aise aise huu ni mtihani haswaa.
 
Inasimama kwakuwa wako connected sana na waarab kuliko waafrika, afrika wapo tu geographically

Dah ila nyie watu mna tabu mjue πŸ˜… wale ni waarabu na pia ni ndugu zao katika imani. Sasa unataka wasiwe connected nao why!! Mbona ninyi mko closed sana na mayahudi/wazungu na wamarekani kuliko hata hawa waarabu/North afrika!!!


Acheni ubaguzi, na kemeeni!
 

Dada faiza umenichekesha sana🀣🀣🀣🀣, kuna viumbe wananuka vikwapa hata umpe Deodorant inagonga mwamba aise
 
Sasa unapinga nink, kwani nimesema nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…