Udugu Feki
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 182
- 153
Kumbuka machifu walishiriki biashara ya utumwa ...usiwape lawama waarabu tuHata hivo sisi bado tuna roho sana tena ya upendo maana hao waarabu ndo walikua wanatusaka kama usakavyo swala wakati wa mawindo ili watuuze km pipi iuzavyo dukani kwa wazungu au umesahau biashara ya utumwa babu zetu waliyopitia.Harafu mtu huyo akimsema mzungu ama mwarabu ni mbaguzi unamtetea natamani nikutukane tusi zito #^@