Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
-
- #201
Mtoto wa mwarabu naona umepanic,acha unga mdogo wangu
Libya,oman,pakstani hawa jamaa ni wasenge hatari
Ndugu zangu watanzania msema 'kweri' ni mpenzi wa Mungu, hawa waarabu binafsi SIWAPENDI kweri kweri na ikiwezekana siku moja tuwafukuze kwenye bara letu.
Wazanzibar bhana yan nyie mnajiona niwarabu ujue ila jamaa wanawabagua kinoma
Unaweza pigwa hata shaba
Kheeeeeh kumbe ni kweli? Niliwahi mbishia mtu hii story. Tobaaaah
Hakuna watu wabaguzi duniani kama warabu ni vile tu hawana influence duniani ila wanaubaguzi kushinda kiumbe chochote kinachoishi duniani mpaka vitabu vya dini vimeelezea.
Wee muarabu koko tutolee upuuzi wako hapa, si uwapende wee kwan umekatazwa? Kwan lazima tuwapende wote? KhaaahNdio haya tunayasema, umeshasikia kwa mwenzio kisha utakaririsha kwa wengine bila kuwa na ushahidi,,,Afrika ni Afrika tuu, huenda trump akawa ni sahihi.
Dada kemea ubaguzi, na acheni chuki za kijinga
Wee muarabu koko tutolee upuuzi wako hapa, si uwapende wee kwan umekatazwa? Kwan lazima tuwapende wote? Khaaah
Usitupangie msieeeew
Huko Africa ya kaskazini kote ilikuwa milki ya watu weusi, hao mabwana walivyokuja na dini yao ikawa kama hukubaliani nao kuifuata dini yao unakula panga ya kisogo, mpaka wakawamaliza kabisa vizazi vyeusi na dini zao .Libya sio Afrika?
Unaona ajabu Muafrika kumbagua Mwafrika mwenzake? Umesahau Afrika kusini, juzi juzi tu ilikuwaje?
Pakistan, siyo "Waarabu".
Hivi hizo shu;e mlienda kusomea ujinga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizo hoja zako watu hata hawazielewi na hawazitaki, kwann unalazimisha?Hahhhaaaa nakuona dada umepanic haswaa kuwatetea waarabu [emoji1787][emoji1787] nawatetea kwa hoja, nyie si mnakuja na chuki zenu hapa, hazina maana yoyote, haya dada yangu andaa bac msosi hapo mezani shejmeji yetu apate rizki, kumbuka nami kunialika bac [emoji1787]
Huko Africa ya kaskazini kote ilikuwa milki ya watu weusi, hao mabwana walivyokuja na dini yao ikawa kama hukubaliani nao kuifuata dini yao unakula panga ya kisogo, mpaka wakawamaliza kabisa vizazi vyeusi na dini zao .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizo hoja zako watu hata hawazielewi na hawazitaki, kwann unalazimisha?
Kawaulize Morocco.Sijui umemjibu nani hapo [emoji1] haya wakina nani hao walitaka kujiunga?
Misri walikuwa na mchezaji kama black flan hivi timu ya taifa, walimwandama kwa ubaguzi mpaka akaondoka timu ya taifa.Ulienda nchi zao wakakutenga? Watu wengine bwana!! Muda wote unahisi ku-tengwa/baguliwa, huu ugonjwa mmbaya sana, usipobadilika utaendelea kukutesa na hata vizazi vyako. Badilika na msiwe mnawakaririsha watoto wenu ujinga/ulimbukeni, mara oh waarabu ni makatili, waarabu walitesa babu zetu, waarabu ni wabaguzi na wametuletea dini kwa meli wakati hapo mwanzo kulikua na dini yetu [emoji28][emoji28][emoji28] aise aise aise huu ni mtihani haswaa.
Misri walikuwa na mchezaji kama black flan hivi timu ya taifa, walimwandama kwa ubaguzi mpaka akaondoka timu ya taifa.
Kawaulize Morocco.
Unatumia nguvu kubwa sana ktk kuwatetea hao waarabu. Kwani ni lazima wote tuwapende? Ukiwapenda wee inatosha khaaah.
Ajabu hao waarabu wala hawajawahi kulalamika kwa kubaguliwa kwao na wa Africa, why wee uteseke? Lazima utakua muarabu koko tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukarimu gani walio nao wale inaonekana hamna unachojua kuhusu warabuChuki zinakusumbua ilhali hujui chochote kuhusu waarabu, na utateseka sana [emoji38] hofu yangu usije ukajinyonga tu. Hakuna jamii watu wake wakarimu kama waarabu.
Hii nakataa mkuu. Waafrica weusi wamezidi. Fuatilia vizuri kwenye mabanda umiza au hata hapo Taif utanambia.Gusia pande zote mbili. Waarabu wao ni wabaguzi mara 3 ya Waafrika