Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Akili zingine bwana mwisho unaishia kucheka tu [emoji1787] unataka wajihesabu wao ni waafrika ilhali wao ni waarabu!! Fikiri kabla ya kukomenti.
Kwani Tanzania hakuna waarabu na wahindi?
Nao so watanzania?
 
Kwani Tanzania hakuna waarabu na wahindi?
Nao so watanzania?

Ni watanzania lakini sio waafrika, hoja zenu dhaifu mno. Au niwaitie mwalimu wenu FaizaFoxy awape ilmu, na ule msemo wake "Hizo shule mlienda kusomea ujinga"?
 
Evidence mojawapo ni hii kampeni ya black lives matter
Unafikiri kwa Nini ipo

Black lives matter imeanzia kwa ndugu zenu mabeberu, kila leo wanauwa watu weusi na kuuwana wao kwa wao. Waarabu tusiwasingizie bwana, hawana shida na mtu wale, Allaah amewajaalia kwa ukarimu wao na roho safi.
 
Ukute limtoa mada linaitwa Abdullah
Basi linajiona li arab wakati jeusi tii kama sisi Wenzie.

Kuna watu ubongo wao ni wa kuunyofoa tuweke mawe tu

Maachallah jina zuri sana hilo, la baba yake kipenzi chetu Mtume Muhammad S.A.W.
 
Hii kitu inaniumiza sana mkuu, na kila nikijaribu ku-comment kwenye baadhi ya mitandao naishia kuoga matusi tu.
Matusi ni sehemu ya maisha yao, hivyo kitu cha kawaida kwao maana majitu yenyewe hayana imani.


Wakikutukana sema Alhamdulillah.
 
Taja hizo inchi za kiarabu ulizoenda na ww ni mweusi na usibaguliwe, labda Kama na ww ni muarabu unataka huruma sio Mana hapa bongo tu kuoa kwenye familia ya waarabu koko tu shida hata Kama ni vilamba sukari ila bado wanajiona wao Bora kuliko weusi

Omani na Emirates
 
Mtu mweusi kajazwa ujinga na Mzungu, anamuona mzungu kuwa ni "Mungu" wake. Haelewi kuwa Uarabu si rangi, ni lugha na tamaduni tu.


Ujinga wa Mwafrika ni pale anapombagua Mwarabu halafu wakati huohuo anasema yeye ni "Mstaarabu".

Mtu ambae haelewi hata maana ya Uarabu na Ustaarabu, huyo ni wa kumuonea huruma tu. Ujuwe huyo anamuabudu Binadam mwenzake aliyemjaza ujinga.
 
Taja hizo inchi za kiarabu ulizoenda na ww ni mweusi na usibaguliwe, labda Kama na ww ni muarabu unataka huruma sio Mana hapa bongo tu kuoa kwenye familia ya waarabu koko tu shida hata Kama ni vilamba sukari ila bado wanajiona wao Bora kuliko weusi
Wewe poyoyo, ni nani alikudanganya Uarabu ni rangi ya mtu?
 
Kwa tz haya mambo utayaona kwenye mitandao tu,mtaani huwez yaona

Lakin huko kwa waarabu unazinguliwa vzur tu mtaani
 
waarabu nao wanamapigo yao
 
Wewe pia umeleta maneno ya kibaguzi humu
Tusiotumia Instagram tungeyajuaje haya?
 
Waarabu ni washenzi hata hawa waarabu koko hawawezi kwenda kuoa kwa waarabu original kabisa wanawabagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…