Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Una exposure kisi gani?

Uko very naive aisee
 
Black lives matter imeanzia kwa ndugu zenu mabeberu, kila leo wanauwa watu weusi na kuuwana wao kwa wao. Waarabu tusiwasingizie bwana, hawana shida na mtu wale, Allaah amewajaalia kwa ukarimu wao na roho safi.
Umeruka ruka wee hatimaye umeonyeaha rangi yako

Asalamaleku shehee
 

alielusaka ni muafrica mwenzio sio muarabu, Muarabu alinunua bidhaa kutoka kwa muafrica
 

kama wao hawajihesabu waafrica kwanini wajiunge na AU? kwanini wajiunge na CAF? watu weusi tuna matatizo mkaubwa ya kisaikolojia
 
kama wao hawajihesabu waafrica kwanini wajiunge na AU? kwanini wajiunge na CAF? watu weusi tuna matatizo mkaubwa ya kisaikolojia
Ili wafaidi matunda ya hizo community za Afrika.
Lakini chukulia nchi kama Egypt ina influnce sana kwa siasa za nchi kiarabu. Sema influence yake imeshuka miaka ya karibuni, ila ni nchi ambayo mataifa mengi ya Kiarabu yalikiwa yakiisikiliza na imeshirika sana katika kusuluhisha migogoro yao.
Wale wako sana upande ule kuliko huku kwetu
 

tatizo lako wewe ni kuwa unachanganya Uarabu na Uafrica, Misri ni waafrica na wakati huohuo ni waarabu. Kwahiyo hakuna ubaya wowote wao kijuhusisha na siasa za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…