Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

hachana nae huyo... akiambiwa historia ya mtu mweusi anaweza ikataa... namwambia misri ilikuwa ya watu weusi, je wameenda wapi?
 
tatizo lako wewe ni kuwa unachanganya Uarabu na Uafrica, Misri ni waafrica na wakati huohuo ni waarabu. Kwahiyo hakuna ubaya wowote wao kijuhusisha na siasa za kiarabu.
Misri na nchi kama Morroco wanajiona waarab kuliko waafrika, na mimi naona sawa tu. Ukiangalia historical background yao wako connected sana na wenzao wa mashariki ya kati kuliko sisi. Huku tu wapo kijiografia tu
 
Misri na ncho kama Morroco wanajiona waarab kuliko waafrika, na mimi naona sawa tu. Ukiangaloa historical background yao wako connected sana na wenzao wa mashariki ya kati kuliko sisi. Huku tu wapo kijiografia tu

Mimi nawaona wako sawa kwa kila kitu,,,i wish tungepata angalau robo ya ukarimu/ustaarabu/utu wao tungefika mbali sana.
 
#Say No To Bigotry
#Say No To Racism
#Say No To Tribalism

WE ARE ONE PEOPLE

#Siempre JMT🙏
 

Dah! Unaongea kwa confidence kabisa, mkuu umewahi kufika Yemen?
 
Hapana.
Kuna saudia Arabia alafu kuna makka na madina.
Maka na madina ni miji mitukufu katika dini yangu
Na nguzo za UISLAM NI 5.
Ya mwisho KWENDA KUHIJI MAKA KWA MWENYE UWEZO.
ili uwe Muslim kamili inakubidi utimize hizo nguzo 5.

Unatia aibu mkuu
 
Kwa tz haya mambo utayaona kwenye mitandao tu,mtaani huwez yaona

Lakin huko kwa waarabu unazinguliwa vzur tu mtaani

Unazinguliwa kivipi, why mnapenda kuongea vitu bila ushahidi!!! Kemea ubaguzi
 
Misri na nchi kama Morroco wanajiona waarab kuliko waafrika, na mimi naona sawa tu. Ukiangalia historical background yao wako connected sana na wenzao wa mashariki ya kati kuliko sisi. Huku tu wapo kijiografia tu

Kuna tatizo la kiakili linawatesa sana watu weusi. Wamisri ni waarabu na pia ni waafrica, sasa hiyo kuliko inasimama kwa misingi ipi?
 
Kuna tatizo la kiakili linawatesa sana watu weusi. Wamisri ni waarabu na pia ni waafrica, sasa hiyo kuliko inasimama kwa misingi ipi?
Inasimama kwakuwa wako connected sana na waarab kuliko waafrika, afrika wapo tu geographically
 
Waarabu ni washenzi hata hawa waarabu koko hawawezi kwenda kuoa kwa waarabu original kabisa wanawabagua

Eti washenzi 😁 unathubutuje kuwaita washenzi watu ambao wameleta ustaarabu barani afrika!!

Wazungu kwako ndio watu wema sio!😁 kwahiyo hata trump hakukosea kusema Afrika ni Shit ole n.k!!!

Jitafakari upya kijana kabla ya kukurupuka
 
Kwa tz haya mambo utayaona kwenye mitandao tu,mtaani huwez yaona

Lakin huko kwa waarabu unazinguliwa vzur tu mtaani
Mwongo.

Watanzania kwa mamia kila siku wanaenda shopping na kufanya biashara zao Dubai, hatujasikia wakilalamika kubaguliwa.

Wewe ulienda nchi ipi ya Waarabu ukabaguliwa? Wewe unaonesha hata Dar huijuwi bado uko kwenu huko madongo kuporomoka.

Nyie ndio wale mnanuka vikwapa, mkimsogelea mtu anaminya pua, mnasema mnabaguliwa, kumbe una kikwapa.
 
Mtoto wa mwarabu naona umepanic,acha unga mdogo wangu

Libya,oman,pakstani hawa jamaa ni wasenge hatari
 
Ndugu zangu watanzania msema 'kweri' ni mpenzi wa Mungu, hawa waarabu binafsi SIWAPENDI kweri kweri na ikiwezekana siku moja tuwafukuze kwenye bara letu.
 
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Wazanzibar bhana yan nyie mnajiona niwarabu ujue ila jamaa wanawabagua kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…