Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

Serikali inajenga reli ili watu wasafiri na biashara ifanyike Kwa ufanisi wanatokea kikundi cha watu Fulani wanaenda kuhujumu miundombinu ya reli Kwa kubomoa ili biashara ya malori iendelee kufanyika....hii ndiyo Akili ya mwafrica inapoishia
Malori na mabasi...

INAUMA SANA
 
Chini ya utawala wa Mbogamboga usitegemee hatua mbele ni rivas kwa kwenda mbele
 
Yuko wapi na ubabe wake? Tunataka mifumo inayowajibika, ww unaleta story za mlevi wa madaraka!
Hakuna mtu ataishi milele.

Mifumo inayowajibika wapi nyie? Muafrika inapaswa apelekwe kama punda kwa ukali, ubabe na ukatili.

Ndivyo tulivyokuzwa kuanzia shuleni na majumbani, wanafunzi pasipo kutandikwa fimbo barabara, kupewa adhabu nzito za kuchimba visiki, kukata miti n.k akili huwa haziji na hili limetujenga hivyo.

Hio ni asili yetu, ukifanya hivyo mTanzania atakuwa muwajibikaji, muaminifu na mwenye nidhamu kazini.

Mifumo inayowajibika achia wazungu huku haifai.
 
Pamoja na udhalimu aliokuwa nao JPM.

Kazi zake zinaonekana. Yaani sijui ni sababu gani ya tatizo la umeme lililopo sasahiv ambalo kipindi chake halikuwepo.

Hii Tanzania kukosa mtu wa kariba ya JPM hakuna kitakachofanyika,

Aliwezaje yule mzee kuondoa kero ambazo hawa waliopo sasahiv wanashindwa?
 
Kukubali kuwa tumeshindwa ni UZALENDO pia, sasa tujiulize tulikosea wapi tujirekebishe vipi nini kinachotukwamisha nk.

Kushauriana bila kualika MACHAWA ambayo ni hasara tu kwa Taifa letu.
 
Hakuna mtu ataishi milele.

Mifumo inayowajibika wapi nyie? Muafrika inapaswa apelekwe kama punda kwa ukali, ubabe na ukatili.

Ndivyo tulivyokuzwa kuanzia shuleni na majumbani, wanafunzi pasipo kutandikwa fimbo barabara, kupewa adhabu nzito za kuchimba visiki, kukata miti n.k akili huwa haziji na hili limetujenga hivyo.

Hio ni asili yetu, ukifanya hivyo mTanzania atakuwa muwajibikaji, muaminifu na mwenye nidhamu kazini.

Mifumo inayowajibika achia wazungu huku haifai.

Kwasababu ww umezoea kuburuzwa, basi unadhani Kila mtu ni muumini wa kuburuzwa? Kama huwezi kufanya kazi bila kuburuzwa, achia ofisi ya umma wafanye wanaoweza kujituma.
 
Chini ya utawala wa Mbogamboga usitegemee hatua mbele ni rivas kwa kwenda mbele
Hakuna cha mboga mboga wala nini, sehemu kubwa ya wafrika hatuna uwezo kuongoza nchi zetu.
Wabinafsi waliopindukia na wapumbavu.

Zambia hapo kila uchaguzi wanabadirisha chama, kipi kilichosogea kwenye nchi hiyo?
Ghana ni kama Zambia wamebadirisha viongozi na vyama ili kujaribu kupata maendeleo lakini hakuna.
Wafrika tuna umasikini wa akili.
Atamlaumu aliye madarakani, mpe nafasi uone madudu anayofanya.
 
Sasa tusubiri miaka mingapi tena ili tatizo liishe wakati hayo matatizo yamekuwepo kwa sababu ndio husaidia wanasiasa kuingia madarakani.

Hata mimi ninatumia hizohizo, ila silalamiki wala silaumu maana nimeamua kutafuta mibadala ya kila huduma japo sijafanikiwa asilimia zote.
Kodi zangu nimekubali hasara hadi siku wakiona ni sahihi kutoa huduma kamili.
Sioni mbadala wa hiki kinachendelea na mtu mwenye kusudi la kutusaidia kutoka moyoni. Hii consistency ya miaka 60 naona ikidumu 60 tena ijayo.
Mfano wa ubinafsi unaomtafuna mwafrika ndo huu hapa kila mtu anajifikiria yeye ndo maana hatuna kizazi cha wapambanaji na hatutakua nacho
 
Umasikini ni akili.
Funga solar, chimba kisima au tengeneza reserve kubwa ya maji.

Naona kama kuna mkakati wa kulazimishana hatabtusiotaka tufe masikini.
Ila kweli kuna time inabidi tujiongeze tu.
Kama wananchi wengi watajitusu kuhama kwenye nishati ya namna nyingine itakua vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom