Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

Aliiwezaje ? Mbona bado ni masikini ?
Nchi masikini toka 1960's tunapata uhuru ije kuwa tajiri ndani ya miaka 5, nchi imefisadiwa, mifumo haieleweki uje urekebishe kila kitu kwa miaka mi 5, hata mwanafunzi hawezi maliza elimu kuanzia primary hadi chuo kwa 5 yrs, tumia akili mkuu.

Lakini kwa uongozi wa JPM matumaini yalionekana, mabadiliko yalionekana tena si kidogo.

Angeongoza kwa miaka kama 20 nadhani tungefika pazuri.
 
Kwasababu ww umezoea kuburuzwa, basi unadhani Kila mtu ni muumini wa kuburuzwa? Kama huwezi kufanya kazi bila kuburuzwa, achia ofisi ya umma wafanye wanaoweza kujituma.
Imedhihirika mTanzania hawezi kujiongeza, kuwa mzalendo na kujituma mpaka apelekeshwe kama ng'ombe inayolima au punda kwa mijeledi fimbo ndipo akili inakuja.

Amekuja huyu mama ndipo kabisa watu wanapanda juu ya nguzo na kushusha transformer, hizo ni akili matope.

Hakuna rais atakuja kujitia eti haki za binadamu, mara uongozi wa sheria kwa linchi wananchi wamezoea kuchapwa viboko toka udogoni wapo shuleni kama ng'ombe ndipo akili inawakaa.

Hio ndio subconscious mind ya mTanzania.

Samia mwenyewe kajifanya mtaratibu kaona haija workout, Makonda anafanya nini sasa hivi kama si kurudia siasa za JPM? Wanafahamu hilo.

Mtu kawa programmed toka utotoni kupelekeshwa kama mfugo we unakuja kujitia una huruma.

Tena adhabu ya kunyonga mafisadi ikiletwa ndipo tutaenda sawa.
 
Nchi ingefilisika.
Nchi mbona ilikuwa imefilisiwa tayari, ifilisiwe mara ngapi, viwanda vilikufa, reli ilikufa, ndege hakuna, umeme mgao, vyeti fake, unanijua mimi ni nani, madawa ya kulevya, ufisadi, n.k yaani ilikuwa vurugu.

JPM yule mzee RIP,
 
Nchi ingefilisiwa kwa kuvunja Mikataba Halali na kukopa Mabenki ya Biashara kwa riba kubwa.
 
Imedhihirika mTanzania hawezi kujiongeza, kuwa mzalendo na kujituma mpaka apelekeshwe kama ng'ombe inayolima au punda kwa mijeledi fimbo ndipo akili inakuja.

Amekuja huyu mama ndipo kabisa watu wanapanda juu ya nguzo na kushusha transformer, hizo ni akili matope.

Hakuna rais atakuja kujitia eti haki za binadamu, mara uongozi wa sheria kwa linchi wananchi wamezoea kuchapwa viboko toka udogoni wapo shuleni kama ng'ombe ndipo akili inawakaa.

Hio ndio subconscious mind ya mTanzania.

Samia mwenyewe kajifanya mtaratibu kaona haija workout, Makonda anafanya nini sasa hivi kama si kurudia siasa za JPM? Wanafahamu hilo.

Mtu kawa programmed toka utotoni kupelekeshwa kama mfugo we unakuja kujitia una huruma.

Tena adhabu ya kunyonga mafisadi ikiletwa ndipo tutaenda sawa.

Matumizi ya nguvu bila akili hayawezi kutusogeza popote. Unatawaliwa na mahaba niue, na kwakuwa ulikuwa brainwashed enzi zake unadhani na wote tulinasa kwenye mbwembwe zile. Sijawahi kuamini kuwa utawala wa mabavu kuwa ndio utawala sahihi.
 
JPM pekee ndiye aliiweza hii nchi.

Naye level yake ya kinyampara ni staili ya kuongoza kijiji siyo dola au taifa..

Uongozi wa dola / state au taifa ni zaidi ya kuongoza kijiji.

Kuongoza nchi unatizama nchi nzima fursa / mapungufu na pia fursa nje ya mipaka, hilo waafrika limetushinda.

Shake up your thinking by looking at the world from the perspective of a particular country, industry, or company. “Rooted” maps and Strategy mapping is your roadmap to success

Strategy maps provide a clear view of your overarching organizational goals and objectives. With a well-rounded strategy map, you can see how your various goals connect and influence one another—and you'll be able to take actionable steps toward those goals
1707488141939.png
 
Nchi ingefilisiwa kwa kuvunja Mikataba Halali na kukopa Mabenki ya Biashara kwa riba kubwa.
Sema mikataba ya kinyonyaji.
Kukopa hakuna nchi haikopi duniani, hata China bado inategemea mikopo ndio maana wanajiita developing country lakini kiuhalisia ni developed.

Kama mataifa yaliyokwisha endelea wanakopa hii nchi masikini isikope kivipi?

Kwa unafiki ukaona usiseme kukopa tu mpaka uongeze neno riba kubwa, enhee hio riba kubwa ilikuwa ya asilimia ngapi na ilitoka bank ipi?
 
Matumizi ya nguvu bila akili hayawezi kutusogeza popote. Unatawaliwa na mahaba niue, na kwakuwa ulikuwa brainwashed enzi zake unadhani na wote tulinasa kwenye mbwembwe zile. Sijawahi kuamini kuwa utawala wa mabavu kuwa ndio utawala sahihi.
Utawala wa mabavu ndio ulipelekea suala la umeme kuwa shwari, sasa hivi mnapanua midomo mkilia umeme kama makinda ya ndege wanasubiri kulishwa chakula na mama yao.
Na bado mnadanganywa kina cha maji, mvua, mara transformer zimeibiwa, mara ukarabati wa mashine, kila siku ni story mpya.

Haijulikani lipi ni lipi.

Ni ngumu kumuaminisha mtu, ndio maana huamini kwa sababu kuamini hakuhitaji evidence.

Ndio maana kuna imani za kidini.
 
Haa Sasa Umasikini Unalazimishwa Na CCM
Nilichimba Kisima Wakaja Wale Jamaa Unatakiwa Kisajiliwe Ulipie Nikawatimulia Mbali Huko
Hao jamaa wapuuzi sana [emoji3][emoji3] hata hizi solar wataanza kutulipisha vibali!
 
Naye level yake ya kinyampara ni staili ya kuongoza kijiji siyo dola au taifa..

Uongozi wa dola / state au taifa ni zaidi ya kuongoza kijiji.

Kuongoza nchi unatizama nchi nzima fursa / mapungufu na pia fursa nje ya mipaka, hilo waafrika limetushinda.

Shake up your thinking by looking at the world from the perspective of a particular country, industry, or company. “Rooted” maps and Strategy mapping is your roadmap to success

Strategy maps provide a clear view of your overarching organizational goals and objectives. With a well-rounded strategy map, you can see how your various goals connect and influence one another—and you'll be able to take actionable steps toward those goals
View attachment 2898776
Alifaa hata kuingoza Africa yote.
 
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme.

Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni upungufu wa mvua safari hii mvua zimenyesha wameona wahamishe magoli.

Kuna mda tukubali hii nchi kama waafrika imetushinda kuongoza huo ndo ukweli hii ni total failure.

Hata ukija kwenye mpira timu zetu makocha wao wengi ni wazungu. Kwenye management waafrika ni changamoto hatuna maono.

Nchi ya haiti ilipata uhuru mwaka 1840's huko ila mpaka leo hakuna function government na ni maskini wakutupa, same kwa somalia nchi zote hizi ni za Waafrika.
Afrika kugumu ila tanzania kuna laana
 
Back
Top Bottom