Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Malori na mabasi...Serikali inajenga reli ili watu wasafiri na biashara ifanyike Kwa ufanisi wanatokea kikundi cha watu Fulani wanaenda kuhujumu miundombinu ya reli Kwa kubomoa ili biashara ya malori iendelee kufanyika....hii ndiyo Akili ya mwafrica inapoishia
Ni kweli, kwa kukomoa na kulipa visasi.JPM pekee ndiye aliiweza hii nchi.
Yuko wapi na ubabe wake? Tunataka mifumo inayowajibika, ww unaleta story za mlevi wa madaraka!MuAfrika pasipo kuwa mkatili na ubabe hakuelewi, JPM hio siri aliitambua.
Hakuna mtu ataishi milele.Yuko wapi na ubabe wake? Tunataka mifumo inayowajibika, ww unaleta story za mlevi wa madaraka!
Mkuu ,Mailikia Elizabeth ii aliwaeleza wapigania uhuru wetu kuwa ingawa mnapewa uhuru ila mjue wazi bado hamjaweza kujitawala.
Sio kweli.JPM pekee ndiye aliiweza hii nchi.
JPM ndiye rais bora kuwahi kutokea baada ya JK Nyerere.Sio kweli.
Hakuna mtu ataishi milele.
Mifumo inayowajibika wapi nyie? Muafrika inapaswa apelekwe kama punda kwa ukali, ubabe na ukatili.
Ndivyo tulivyokuzwa kuanzia shuleni na majumbani, wanafunzi pasipo kutandikwa fimbo barabara, kupewa adhabu nzito za kuchimba visiki, kukata miti n.k akili huwa haziji na hili limetujenga hivyo.
Hio ni asili yetu, ukifanya hivyo mTanzania atakuwa muwajibikaji, muaminifu na mwenye nidhamu kazini.
Mifumo inayowajibika achia wazungu huku haifai.
Kuua Wapinzani sio asili yetu.Hio ni asili yetu,
Hakuna cha mboga mboga wala nini, sehemu kubwa ya wafrika hatuna uwezo kuongoza nchi zetu.Chini ya utawala wa Mbogamboga usitegemee hatua mbele ni rivas kwa kwenda mbele
Mfano wa ubinafsi unaomtafuna mwafrika ndo huu hapa kila mtu anajifikiria yeye ndo maana hatuna kizazi cha wapambanaji na hatutakua nachoSasa tusubiri miaka mingapi tena ili tatizo liishe wakati hayo matatizo yamekuwepo kwa sababu ndio husaidia wanasiasa kuingia madarakani.
Hata mimi ninatumia hizohizo, ila silalamiki wala silaumu maana nimeamua kutafuta mibadala ya kila huduma japo sijafanikiwa asilimia zote.
Kodi zangu nimekubali hasara hadi siku wakiona ni sahihi kutoa huduma kamili.
Sioni mbadala wa hiki kinachendelea na mtu mwenye kusudi la kutusaidia kutoka moyoni. Hii consistency ya miaka 60 naona ikidumu 60 tena ijayo.
Ila kweli kuna time inabidi tujiongeze tu.Umasikini ni akili.
Funga solar, chimba kisima au tengeneza reserve kubwa ya maji.
Naona kama kuna mkakati wa kulazimishana hatabtusiotaka tufe masikini.
Elimu ni bahari.Mkuu ,
Hizi habari mnazipataga wapi na sisi tujifunze?
Aliiwezaje ? Mbona bado ni masikini ?JPM pekee ndiye aliiweza hii nchi.
Kuna sources nyingi sana za knowledge ndugu.... kasome decolonization of British colonies....Sijakataa ndugu.
Nimeomba na mimi kujifunza.