Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi


Narudia tena mgao haujawahi kuisha nchi hii toka 90's, nakubaliana na ww kuwa wakati wa Magufuli kuwa mgao haukuwa kwa kiwango hiki, na katika sehemu chache nilizokubaliana naye ni kwenye hili, lakini sio tatizo kuisha. Maelezo yako unataka tuamini ulevi wa madaraka ndio suluhu la kupata maendeleo, hiyo ni primitive way of thinking. Naamini kwenye mifumo kuliko mlevi mmoja wa madaraka kuburuza watu.
 
Mifumo inajiendeshea tu automatically au inasimamiswa na watu hawo hawa wezi

Wataacha kuwa wezi wakati walioko madarakani wako kwa wizi wa kura? Mifumo iwe imara, waangie viongozi wenye ridhaa ya umma, na mifumo iweze kuwawajibisha, isiwe Kuna mwenye Kinga ya kutoshitakiwa, uone kama huu upuuzi wa majizi utaendelea. Sasa unapata mtu mwenye Kinga ya kutoshitakiwa, ila anaingia madarakani kwa kupora uchaguzi, hapo unategemea Nini?
 
Anamaanisha huduma kwa jamii, poverty huwezi kueliminate kwa muda mfupi, it is a long time goal strategy!
Zaidi ya kuua raia wake sidhani kama kuna kingine. Ila Tanzania kuna vituko sana, mtu kama yule ilikuwaje akawa Rais wa nchi. Mchezo mchezo unaweza kuja shangaa Bashite na yeye akawa rais wa wanyonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ya waafrica roho zao nyeusi kama ngozi zao. Na wamejaa ulafi tuu
 
Wale jamaa wa tanesko kabla ya kukata umeme hua wanasema kwanza "mwenyewe" alafu wanakata kwa hiyo tusi lolote utakalo tukana baada ya umeme kukatika tayali umeambiwa "mwenyewe"
 
Nakubaliana na wewe tatizo sisi Waafrika hatupo tayari kufa kutetea haki zetu. Hiyo ni shida. Mhuni mmoja anaweza kuwatawala watu milioni moja, sitini.

Mkizingua anaua kumi anawapa uchawa wengine 50 mamlaka wahuni 20, wapiga debe 100 wamsifie na vyombo vyote vya habari lazima vimtangaze na vyama vichache vya upinzani vyeo, ruzuku, asali.
Amemaliza. Upo sawa kwenye hili.
 
So watu kama Bashite na Saambaya ndiyo watu wake wa kurekebisha tabia, kuwa serious basi hata kama hazimo
Huyo Bashite sasa hivi yuko wapi, si ndio anashangiliwa kila mahali.

Yule mwingine alikuwa na kiburi na alimdharau mh kipindi kile, lakini asingefanya vile sasa hivi hizi shida zisingemkuta.

Hio ndio siasa na hio ndio CCM.
 
Kila kitu tu

Hasa wanongo

Wenzetu wako busy kichapo kazi , sisi tunalalama…. Tena online
 
Huyo Bashite sasa hivi yuko wapi, si ndio anashangiliwa kila mahali.

Yule mwingine alikuwa na kiburi na alimdharau mh kipindi kile, lakini asingefanya vile sasa hivi hizi shida zisingemkuta.

Hio ndio siasa na hio ndio CCM.
Huoni watu wanaomshangilia ni watu kama wewe. Hata kuandika sentensi ambayo haina makosa ni shida. Watu wapumbavu na kwa bahati mbaya ni wengi sana nchini Tanzania ndiyo wanaomshangilia, kama unabisha kwenye hili jiulize ni nani ambaye ana akili timamu anamshangilia huyo mtu
 
Ukiona nimeandika senstensi ina makosa ujue ni type error.

Na siwezi chat na mbwa kama wewe, we ni dogii tena ile inakula jalalani na kulala nje.
 
Duh 🙄 !
Kumbe !
 
Umaslkini wa maono,umaskini wa kuvumiliana,umaskini wa kuwaona wapinzani ni adui,umaskini wa kila jambo ndio shida ya Afrika.
Lakini inadaiwa waafrika wa zamani ya Mafarao wa Misri,Afrika ya Mansa Mussa wa Mali,Afrika ya Queen Sheba wa Ethiopia n.k ilikuwa juu ya Dunia kimaendeleo.Kwanini hatujitambui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…