Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
Daah [emoji52]
 
Bob Marley alijibu hili swali kwenye ule wimbo wake wenye maneno aliyokuwa anatuambia sisi weusi. Baadhi ya hayo maneno ni:-

"EMANCIPATE YOURSELVES FROM MENTAL SLAVERY..."

Sisi kweli ni WATUMWA kwenye namna yetu ya kufikiri.

1. Africa (na weusi kwa ujumla), tuna watu wenye IQ kubwa sana, na wana uwezo mkubwa pia katika fani mbalimbali ikiwepo mpira, muziki, n.k.

2. MATATIZO MAKUU ya Waafrika ni MATATU

a) KUFURAHIA KUTAWALIWA

b) UBINAFSI WA KUTISHA

C) KUAMINI UCHAWI KWENYE KILA JAMBO

Tunafurahia
kutawaliwa kisiasa, na kiuchumi. Akija mzungu au mhindi au mwarabu akisema anataka kuwekeza, anatetemekewa na wahusika wote, japo amekuja na pesa kidogo tu. Anaenda ardhi, anapewa eneo la kuwekeza. Anaenda benki, anakopa, kwa kuweka dhamana ardhi yetu tuliyompa.

Anatoa rushwa kidogo anapewa vibali vyote. Anakopa mpaka mashine za kuchimbia madini.

Wewe mwananchi KAMWE HUTAPEWA FURSA KAMA HIZO. Upewe halafu "kesho utajirike"? Hakuna !! Utumwa wa akili (mental slaver) aliouimba Bob Marley.

Baya zaidi, mchimba madini anadaiwa ASILIA NNE TU (just 4%) ya thamani ya madini YETU !!

Kama sio UTUMWA WA AKILI kukubali kupokea 4% ya madini yaliyochimbwa (badala basi hata kugawana nusu) ni nini? Mbona Botwsana wanapata nusu ya kile kilichovunwa ?

Yaani KIUKWELI tunafurahia wageni WATUTAWALE (hata kama sio kisiasa) KIMAPATO.

Hilo la UCHAWI nadhani linaeleweka. Miaka kadhaa iliyopita, mbunge Msukuma Kasheku ALISEMA BUNGENI (na kwenye hansard rekodi ipo) kwamba anaamini HAKUNA MBUNGE ambae hajaenda kwa mganga wakati wa kusaka ubunge. (Kumbuka mawaziri wanatokana na wabunge). HAKUNA MBUNGE YEYOTE ALIYETOA TAARIFA YA KUPINGA MANENO HAYO.

Kwa misimamo kama hiyo, unadhani tutakaa tuendelee?
Asante sana mkuu.
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.

Malezi na makuzi ya waafrika ni hovyo mno. Malezi ya mwafrika ni unafiki mtupu.

Chukulia mfano mtoto wa kiafrika akilelewa na mzungu na akakulia katika jamii ya kizungu. Atakuwa na mentality kama za wazungu. Na atakuwa anafanya mambo ya kizungu zaidi.
 
Na je anapata faida gani kuumba moto ili atuchome sisi watoto wake. Kama aliweza kuumba moto ajili ya binadamu ni rahisi kuumba mweusi awe kijakazi wa fikra wa Mzungu
Duuuh!
 
Kipindi wazungu wapo kwenye mapango wanajipaka matope kulikuwa na mataifa kibao ya Ki Africa yapo vizuri.

Maendeleo ya wazungu yamekuja hivi karibuni na muda si mrefu Asia ita take over, kutesa kwa zamu hakuna Race ama rangi fulani ambayo ni superior kushinda nyengine.
Kama kutesa kwa zamu sisi tumetesa lini ? Au sisi ndio tunao teswa kila kukicha ?.
 
Malezi na makuzi ya waafrika ni hovyo mno. Malezi ya mwafrika ni unafiki mtupu.

Chukulia mfano mtoto wa kiafrika akilelewa na mzungu na akakulia katika jamii ya kizungu. Atakuwa na mentality kama za wazungu. Na atakuwa anafanya mambo ya kizungu zaidi.
Kwa hiyo tatizo kubwa kwetu ni hizi mentality tulizo nazo.
 
Hatuna matatizo YEYOTE,na hatupo nyuma ki hivyo kama unavodhani!

Tunapigwa vita na wazungu kwasababu ya inferiority complex Yao KWETU vile tulivobarikiwa na Mungu vyote!

Wema wetu kwao pia ulituponza tuliwakaribisha Hadi chumbani wao wenye hila wakatugeuka!!

Walipotugeuka wakatuua kwa mateso yaitwayo utumwa,wakatuchonganisha SISI KWA SISI!wanaendelea kutuuma KWA madawa ya hospital na chanjo!

Wakatuua kwa Imani HATARI za KIDINI zisizo sahihi hasa za ukristo na uislamu hapo Ndio wakatumaliza kabisa Hadi leo tunajiona wajanja kujiita ni wakristo au waislamu kumbe ni utaahira na Mungu hayupo Hivyo coz yeye siyo mbaguzi Hata KIDOGO!!

Hapo mengi Mkuu,tambua WEUSI ndio wenye vipaji, akili na matajiri!teknolojia zote HIZO ni mwafrika Ndio kaaasisi WAZUNGU wanapiga na kuua technology yetu!

Niishie HAPO!!
 
Swali Jepesi kwako Afrika ina fanana kiuchumi, afya, elimu, sayansi na teknolojia, miundombinu, kilimo na China ?

Karibu kwa majibu yako kwa hivyo vichache

Huyo ni China pekee bado Korea, Russia, U.K, Japan, Singapore, Qatar, Germany, n.k
 
Mawaziri wa Sweden wanakwenda ofisini kwa baiskeli.
Waziri mkuu ana magari matatu kwenye msafara Kama siku hiyo hatumii baiskeli.
Njoo bongo.
Msafara wa waziri mkuu si chini ya magari 19 hala hizo mbio sio za barabara hizi.
 
Anza kwa kujiamini mwenyewe, kisha waamini wengine. Trust.

Baada ya hapo nenda level za mahusiano yako hadi juu kabisa national level.

LUgha ndiyo inayowafanya watu wakaendelea, na lugha ndiyo inayoweza kuwazuia kuendelea. Lugha yetu haipo sawa mfano; serikali inasema, tumetumia pesa kujenga daraja hili halafu ujumbe unasomeka.... mamilioni yapigwa kisingizio daraja. HATUNII MAMOJA tayar lugha imevurugwa apo.

Kuishi mazingira ambapo wote rafiki na adui zako wanasema ukweli ndio huleta maendeleo period. Yaani adui anasema kabisa "Mimi ni adui yako na ukizingua, nnakubutua'

Mengi yasiwe mambo, jibu na swali la waafrika ni katika kuaminiana tu. Hakuna kitu kingine.
 
Hatuna matatizo YEYOTE,na hatupo nyuma ki hivyo kama unavodhani!

Tunapigwa vita na wazungu kwasababu ya inferiority complex Yao KWETU vile tulivobarikiwa na Mungu vyote!

Wema wetu kwao pia ulituponza tuliwakaribisha Hadi chumbani wao wenye hila wakatugeuka!!

Walipotugeuka wakatuua kwa mateso yaitwayo utumwa,wakatuchonganisha SISI KWA SISI!wanaendelea kutuuma KWA madawa ya hospital na chanjo!

Wakatuua kwa Imani HATARI za KIDINI zisizo sahihi hasa za ukristo na uislamu hapo Ndio wakatumaliza kabisa Hadi leo tunajiona wajanja kujiita ni wakristo au waislamu kumbe ni utaahira na Mungu hayupo Hivyo coz yeye siyo mbaguzi Hata KIDOGO!!

Hapo mengi Mkuu,tambua WEUSI ndio wenye vipaji, akili na matajiri!teknolojia zote HIZO ni mwafrika Ndio kaaasisi WAZUNGU wanapiga na kuua technology yetu!

Niishie HAPO!!
Katika vitu vinavyo wakwamisha waafrika kupata maendeleo ni tabia ya kupenda kuleta visingizio vingi visio kuwa na maana kama vya kwako, kwani ww kuwa muislam au mkristo unakuzuiaje ww kufanya maendeleo?
kwann hizi dini ziwe kikwazo kwa Afrika tu.

Kama dini za Uislam na Ukristo ndo chanzo cha Umasikini Afrika nadhani ww hapo usiye amini katika dini hizo ungetakiwa uwe ndo tajiri nambari moja Africa badala ya Dangote anaye amini katika Uislam.
Au ungetakiwa kuwa tajiri no1 Tz badala ya Mo ambaye anaamini katika Uislam.

Tuache visingizio vya kijinga mbona Uturuki, Indonesia,Malasia,Brunei , Singapore,S.korea ambao na wao dini walipelekewa kama tulivyo letewa Afrika mbona wameendelea?
 
Mawaziri wa Sweden wanakwenda ofisini kwa baiskeli.
Waziri mkuu ana magari matatu kwenye msafara Kama siku hiyo hatumii baiskeli.
Njoo bongo.
Msafara wa waziri mkuu si chini ya magari 19 hala hizo mbio sio za barabara hizi.
Ha ha ha ha ha
 
Anza kwa kujiamini mwenyewe, kisha waamini wengine. Trust.

Baada ya hapo nenda level za mahusiano yako hadi juu kabisa national level.

LUgha ndiyo inayowafanya watu wakaendelea, na lugha ndiyo inayoweza kuwazuia kuendelea. Lugha yetu haipo sawa mfano; serikali inasema, tumetumia pesa kujenga daraja hili halafu ujumbe unasomeka.... mamilioni yapigwa kisingizio daraja. HATUNII MAMOJA tayar lugha imevurugwa apo.

Kuishi mazingira ambapo wote rafiki na adui zako wanasema ukweli ndio huleta maendeleo period. Yaani adui anasema kabisa "Mimi ni adui yako na ukizingua, nnakubutua'

Mengi yasiwe mambo, jibu na swali la waafrika ni katika kuaminiana tu. Hakuna kitu kingine.
Sawa, Asante mkuu.
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
Waafrika (wabantu, watu weusi wa kusini mwa Jangwa la Sahara) ni binadamu (Homo sapiens) kama walivyo wengine. Hali yetu duni kiuchumi, kiteknolojia na maendeleo mengine kwa ujumla inatokana na historia yetu.

Africa south of Sahara ilitengeka kijiographia na mabara mengine hivyo kufanya muingiliano na watu wenye staarabu mpya kuwa mgumu. Pia waafrika walitengwa na hadi leo kutokana na rangi yao nyeusi ambayo inawatofautisha na makabila mengine yoye ya wanadamu.

Ustaarabu wowote mkubwa hujengeka kwa karne nyingi na jamii moja yaweza kuwa mbele kimaendeleo kwa karne nyingi kulinganisha na jamii ingine.

Ikumbukwe kuwa hata kati ya “wazungu “ wapo walio mbele Ki maendeleo mfano wazungu wa Ulaya magharibi wapo mbele ukilinganisha na Ulaya mashariki. Hii hutokana na jiographia na historia za jamii husika. Sababu nyingine zote zipo ndani ya hoja zangu za msingi.
 
Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.

KENGE MWENYEWE.😏😏😏
 
Waafrika (wabantu, watu weusi wa kusini mwa Jangwa la Sahara) ni binadamu (Homo sapiens) kama walivyo wengine. Hali yetu duni kiuchumi, kiteknolojia na maendeleo mengine kwa ujumla inatokana na historia yetu.

Africa south of Sahara ilitengeka kijiographia na mabara mengine hivyo kufanya muingiliano na watu wenye staarabu mpya kuwa mgumu. Pia waafrika walitengwa na hadi leo kutokana na rangi yao nyeusi ambayo inawatofautisha na makabila mengine yoye ya wanadamu.

Ustaarabu wowote mkubwa hujengeka kwa karne nyingi na jamii moja yaweza kuwa mbele kimaendeleo kwa karne nyingi kulinganisha na jamii ingine.

Ikumbukwe kuwa hata kati ya “wazungu “ wapo walio mbele Ki maendeleo mfano wazungu wa Ulaya magharibi wapo mbele ukilinganisha na Ulaya mashariki. Hii hutokana na jiographia na historia za jamii husika. Sababu nyingine zote zipo ndani ya hoja zangu za msingi.
Asante mkuu kwa mchango wako bora kabisa.
 
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.

SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?

Karibuni kwa maelezo na majibu yenu wadau wote.
rais wetu kila siku ndio maana alikuwa akitwabia tumtangulize mungu mbele kama yeye alivio kuwa akimtaguliza mungu mbele hapa chini tutakukumbuka mpendwa wetu
1.jpg
 
Kama kuna huyo Mungu katuumba sisi na Low IQ ili tuwe kenge katika msafara wa mamba[ wazungu ] kama ulivyo sema, yeye sasa anapata faida gani sisi kuwa hivi ?
Kabla ya kusema hivyo wazia jinsi amewaumba wanyama mbalimbali wadudu
Hata sokwe huwenda wanawaza wangekuwa kama wewe lakini wameumbwa vile ni sahihi wala hamna makosa
 
Sijakuelewa
 
Back
Top Bottom