Subhana wataalah ni mungu wenu nyie waislam na wale viumbe wachafu waliokata tamaa Majini...Tena ameshaanza kuwakana Kwa kauli yake ""Sikuwaumba binadamu WAla majini ILA waniabudu"" Wewe hujui unachokiabudu..waA
Utathibitisha vipi hicho ulichosoma kwenye kitabu ni ukweli na si uongo maana kuna vitabu vya hadithi pia?Imani inaanzia kusoma kitabu upate maarifa yakuletee transformation of your mind na Ile transformation ndio itakusaidia kuthibitisha...
Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah
Ila Mungu wa wakristo ni tafauti
Wakristo Wengine Mungu wao Yesu
Wakristo Wengine Wana Mungu 3
Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu
Kwanza hujathibitisha ukweli wa imani yako, Halafu unataka tutumie guidance za imani hiyohiyo kuthibitisha.Kudhitisha unatafuta njia za kuthibitisha.Kila Imani ina guidance ya unseen spirit.. Your eyes should be opened to see and take further step.
Mada za waislamu huwa ni low IQ sana ...yesu alikuja kabla ya muhammad na alikili kuwa mitume wa agano la kale na kulikili agano la kale sasa tatizo ni nini ...uislamu wa muhammad ni kitu kipyaUkiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Mungu ni mmoja man tofauti na hapo hiyo itakuwa miungu au hakuna Mungu kabisa.It is written in the bible,there is only one God(the creator of heaven and earth).Kama wewe ni mkristo na unaamini kuwa Mungu ni mmoja tu na huyo Mungu anaitwa Allah na Yesu alitumwa na huyo Mungu mmoja
Basi karibu katika uislam maana hayo ndio mafundisho ya uislam
Niliyenae ananitosha. Acheni kubeza vya wenzenu. Na pia sio vizuri kukashifu vya wenzako maana mashindano yakianza huwa kunafikia level ya kutusi halafu sio vizuri kabisa.Hakuna anayekulazimisha ila unafundishwa umjue Mungu wa kweli aliyekuumba
Ukisha mjua ni uamuzi wako umuabudu au uendelee kuabudu masanamu ya kirumi
Kama kweli wewe unamjua Mungu aliyekuumba jibu haya maswali
1) Mungu wako aliyekuumba ni nani?
2) Mungu aliyemuumba Yesu anaitwa nani?
3) Mungu wa Maria mama yake Yesu anaitwa nani?
Hakuna mtu yoyote mwenye IQ akaambiwa Mungu wako alizaliwa tarehe 25 Dec akakubali zaidi yako wewe mwenye IQ ya 0.00000000001Mada za waislamu huwa ni low IQ sana ...yesu alikuja kabla ya muhammad na alikili kuwa mitume wa agano la kale na kulikili agano la kale sasa tatizo ni nini ...uislamu wa muhammad ni kitu kipya
Yes alitamka allah wapi? No books no records zinasema hivyoYesu alitamka Allah
Uliza hivi kama wandishi wa Bibilia wangeandika Yesu alitamka Allah maana yake ingekuwa ni Nini?
Maana yake ni kwamba wewe ungejua kuwa Mungu wa Yesu anaitwa Allah
Niliyenae ananitosha. Acheni kubeza vya wenzenu. Na pia sio vizuri kukashifu vya wenzako maana mashindano yakianza huwa kunafikia level ya kutusi halafu sio vizuri kabisa.
Unaona Sasa
Hakuna mkristo anayeamini kuwa Mungu ni mmoja tu
Mungu zaidi ya Mmoja ni msingi wa ukristo aka upagani
Kwani wewe roho yako imetoka wapi?
Au haujui kuwa roho ilifanyika mwili ndio ukawa wewe na roho zote ni mali ya Mungu
...Kwa hiyo Mwenyewe unajiona Umesoma Sana Hadi kugundua jambo ambalo Manabii Hawakuliona! Pole..Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Kilicho zaliwa ni mwili siyo nafsiHakuna mtu yoyote mwenye IQ akaambiwa Mungu wako alizaliwa tarehe 25 Dec akakubali zaidi yako wewe mwenye IQ ya 0.00000000001
Allah ni mungu mwingine kabisa sio Eloi wala Yehova (ambaye ni Yahwe-YWHW).Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Shida ni ipi rugha au mkutadha wa neno lenyeweUkiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Ahsante sana kiongozi nimekuelewa , ila kichwa changu mimi kwa sasa siwezi kuelewa misamiati ya kiarabu kwakweli labda kama kuna namna nyingne, nieleweshe zaidiKama wewe unakubali kuwa Mungu wa Yesu anaitwa Allah basi karibu katika uislam