Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Halafu uwaambie na makobazi ukweli kwamba katika hayo majina 99 kuna ambayo yanatumika kwenye usihiri pia uwaambie kuna koo 99 za majini.Ahsante.
 
Nikionaga mada kama hizi huwa nashawishika kusema dini zote mbili zinamchukulia mungu poa (hazimjui)
dini zimeleta mpasuko wa muda mrefu sana
 
Kwa nini mnatulazimisha kwamba Mungu wenu ni wa kwetu? Hatujawahi kuwalazimisha aisee.
Ni kwamba hawatosheki na mungu wao Allah:
Ndio wanatulazimisha na sisi tumwamini:
Sisi tulishasema hatumtaki mungu wao:
Na hata mtume wao aliwaambia wao wana mungu wao ambaye sio wetu ila bado hawataki:
 
Mbona
Mbona sisi hatutumii nguvu yoyote kukanusha kuwa Uzza, Lutta na Manata ni watoto wa Allah?
 
Ya ladhina Amanu
Toshekeni na mungu wenu Allah, na mtume wake na wenu Muhamadi na Kitabuchenu Qurani na Ndugu zenu Majini:

Sisi Wakristo hao hatuwatambui kama familia yetu:
Kama Allah ndiye Mungu mkuu basi toshekeni naye, huyo sio Mungu wetu:
Na kamwe hatuto mkubali:

Shida yenu iko wapi kwani ?
 
Mada ya kijinga Sana. Uuslamu ulikuwa baada ya Kristo, bado inasema kristo kamtaja Allah wa Waislamu. Aiseeh!
 
Yesu aliwahi kuongea kiarabu?
 
Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah

Ila Mungu wa wakristo ni tafauti

Wakristo Wengine Mungu wao Yesu

Wakristo Wengine Wana Mungu 3

Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu
Kwani mungu mwenyewe anasemaje?
 
Ngoja nifikirie kama unavyofikiri ww.

Sawa Yesu alimwita Allah.

Kwahiyo Mungu wa Mtume Mohamed ndio huyo huyo Mungu wa Yesu.
Na ndio Mungu wa Wakristo na ndio Mungu wa Waislamu.
Mkuu, nasubiria nondo zako!

Na usisahau kumkumbusha, Yesu hakuwa mwarabu, hakuwahi kuzungumza kiarabu, hivyo asilazimishe neno SPIRIT kuwa ANGEL kama wafanyavyo ili kuhalalisha unasaba wao na Yesu!
 
Waislam achaneni na Biblia na Ukristo. Hangaikeni na Kuraan inatosha
Kwa bahati mbaya mliyonayo

Taurati kitabu Cha waislam
Zaburi kitabu Cha waislam
Injili kitabu Cha waislam

Nyinyi wakristo vitabu vyenu wagalatia, wakoritho, Tito, Rumi sijui Efeso hivyo ndio vitabu vyenu mlipovipata mnajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…