Kwa hiyo wakristo walianza kupambana na muhammad na uislamu wa muhammad kabla ya kujua kuwa duniani kuna kitu kitaitwa uislamu 😁😁😁😁🤔 naona unawadanganya wajinga wenzio ...kumbuka kuwa uislamu wa muhammad ulikuwa aujulikani kuwa kuna kidudu mtu kinaitwa muhammad kitazaliwa duniani ...use your common sense 😁Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Siyo kweli neno Allah ni kiababu cha neno God yaani Mungu kwa kiswahili hata kabla Muhammad ajazaliwa waarabu walikuwa na miungu yao ya Allah...hivyo neno ALLAH LINATUMIKA KWA WAARABU HATA KABLA YA UISLAIKiarabi, na kie brania Mungu kwa lugha yao wanaita Allah haimaanishi kitu kigeni ni kama sisi east africa kutumia neno shilingi kwenye currency zetu ni muingiliano wa lugha tu
Kusema Eloh ni sawa na kusema Allah ? Kwa nini mnalazimisha vitu ambavyo havipo?Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Othman ni nan?Kwanza ni Wazi unakubali Yesu alisulubiwa ,
Baada ya dakika mbili mbele utakuja kusema hakusulubiwa😂🙌
Uislamu ni dini ya propaganda sana ,haiwezi kujisimamia ni dini kiwete
Kwanza Kuhusu jina Allah, hilo lilitumika na Waarabu wa kipagani kabla ya Uislamu kumrejelea mungu mkuu miongoni mwa masanamu yao, likiwa tofauti na Elohim wa Kiebrania.
Hivyo basi, siyo tu kwamba jina "Allah" halimo katika maandiko ya kale ya Biblia, bali pia halina uhusiano wowote na Mungu wa Ibrahimu kama alivyojifunua kwa Wayahudi na Wakristo.
Tafakari kwa makini kabla hujachanganya lugha, historia, na imani ili kutengeneza hoja ya kubuni
Biblia haijabadilishwa hata kidogo, na tuna maelfu ya manuscript za kale za Biblia, baadhi zikiwa karne ya pili kabla ya Kristo (BC), kama vile Dead Sea Scrolls (karibu 150 BC) ambazo zina vitabu vya Agano la Kale vilivyoandikwa kabla hata Yesu hajazaliwa.
Tuna pia Codex Sinaiticus (karne ya 4 AD), Codex Vaticanus (karne ya 4 AD), na Codex Alexandrinus (karne ya 5 AD) hizi ni nakala kamili au karibu kamili za Biblia ya Kigiriki.
Kwa ujumla, zipo zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini, na zaidi ya 15,000 kwa lugha nyingine – jumla ya zaidi ya 30,000, zote zikithibitisha ujumbe uleule.
Kwa upande wa Qur’an, hakuna hata manuscript ya Uthman iliyo hai leo yale maandiko wanayodai ni ya Uthman si kamili, na baadhi yana tofauti za maandiko, jambo linaloweka mashaka katika uhifadhi wa Qur’an. .
Naona Sasa hoja zimekushinda umeanza matusiKwa hiyo wakristo walianza kupambana na muhammad na uislamu wa muhammad kabla ya kujua kuwa duniani kuna kitu kitaitwa uislamu 😁😁😁😁🤔 naona unawadanganya wajinga wenzio ...kumbuka kuwa uislamu wa muhammad ulikuwa aujulikani kuwa kuna kidudu mtu kinaitwa muhammad kitazaliwa duniani ...use your common sense 😁
KAMA NI KWELI MTU UZALIWA MUISLAMU NA DINI ZA MITUME WOTE NI UISLAMU BASI NIJIBU ILI SWALI 👇👇Naona Sasa hoja zimekushinda umeanza matusi
Hu Uzi sio saizi yako ni Bora ungekaa kimya tu kuliko kujidhalilisha Ili Kila mtu akujue kuwa wewe ni kiraza
Jinsi ulivyo mjinga hata haujui kuwa dini ya ukristo ilianzishwa miaka zaidi ya 30 Baada ya Yesu Kupaa
Allah alikuwepo kabla mtume Muhammad ajazaliwa na ndio maana hata Yesu alikuwa anatamka Allah
Uislam ulikuwepo kabla hata mtume Muhammad hajazaliwa ila Kwa sababu wewe ni kiraza waliokuzidi akili wanakudanganya kuwa uislam ameanzisha mtume Muhammad
Na kama wewe sio kilaza uliyodanganywa na Wazungu jibu hili swali
Ibrahim Isaka na Yakobo walikuwa na dini gani?
KAMA NI KWELI MTU UZALIWA MUISLAMU NA DINI ZA MITUME WOTE NI UISLAMU BASI NIJIBU ILI SWALI 👇👇
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax

Dini ya mudi boyNini uislamu?
Si unaona jinsi ulivyo kilaza unaulizwa swali lingine na wewe unaleta hadithi nyingineKAMA NI KWELI MTU UZALIWA MUISLAMU NA DINI ZA MITUME WOTE NI UISLAMU BASI NIJIBU ILI SWALI 👇👇
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
mungo ni mmoja tu hakuna miungu wawili wala watatuNgoja nifikirie kama unavyofikiri ww.
Sawa Yesu alimwita Allah.
Kwahiyo Mungu wa Mtume Mohamed ndio huyo huyo Mungu wa Yesu.
Na ndio Mungu wa Wakristo na ndio Mungu wa Waislamu.
Tumia akili ndani ya hiyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kuna jibu la ilo swali lako hivyo sipo nje ya mada ...Si unaona jinsi ulivyo kilaza unaulizwa swali lingine na wewe unaleta hadithi nyingine
Nimekuliza
Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa na dini gani?
Kwa Nini unasema Muhammad ndio Muislam wa kwanza wakati haujui waliomtangulia walikuwa na dini ganiTumia akili ndani ya hiyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kuna jobu la ilo swali lako hivyo sipo nje ya mada ...
Huwezi kuta mwarabu anaandika kitu kama hiki.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Dini isiyoweza kujisimamia yenyewe hadi idandie hoja za dini nyingine 🤔🤔🤔