M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Mnaingizwa chaka na hizi story za kale, mnavyozivalia njuga utadhani mlikuwepo.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Matapeli wa zamani walikuwa vichwa sana, yaani sanaa zao two thousand years after watu bado wanazikomalia na kutaka kutoana macho kila mmoja akijifanya anazijua zaidi ya mwenzake. Kalagabaho.