Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

Mungu wa wailsamu anaitwa Allah au unaweza kumuita Rahman , ili jina Rahman lilikuwa jina la mtu Muhammad akalipenda akampachika Allah , watu wakamuuliza una miungu wangapi
Ndio akashusha Aya hii
Koran 17: 110. Sema: Mwombeni Allah, au mwombeni Rahman , kwa jina lolote mnalo mwita.
 
Hapo chini ni nakala ya picha ya ukurasa kutoka kwenye Biblia ya Kiingereza, iliyohaririwa na Mchungaji C. I. Scofield, D.D., pamoja na Maelezo yake ya Biblia.

Daktari huyu wa Theolojia anaheshimika sana miongoni mwa wasomi wa Biblia ulimwenguni katika Ukristo.

Katika “TOLEO JIPYA NA LILILOBORESHWA” la tafsiri hii, ametiwa nguvu na nyota ya madaktari wengine wanane wa theolojia (D.D.):

Mch. Henry G. Weston, D.D., LL.D., Rais wa Chuo cha Theolojia cha Crozer.
Mch. W. G. Moorehead, D.D., Rais wa Chuo cha Theolojia cha Xenia (U.I.).
Mch. James M. Gray, D.D., Rais wa Taasisi ya Biblia ya Moody.
Mch. Elmore Harris, D.D., Rais wa Taasisi ya Biblia ya Toronto.
Mch. William J. Erdman, D.D., Mwandishi wa “Injili ya Yohana,” n.k.
Mch. Arthur T. Pierson, D.D., Mwandishi, Mhariri, Mwalimu, n.k.
Mch. William L. Pettingill, D.D., Mwandishi, Mhariri, Mwalimu.
Arno C. Gaebelein, Mwandishi wa “Muungano wa Neno la Kinabii,” n.k.

Sijawataja watu mashuhuri hawa kukutia woga. Wamekubaliana kwa pamoja kumsaidia Mch. Scofield katika maelezo yake ya “Mapya na Yaliyoimarishwa.”

Tafadhali zingatia kwamba katika maelezo yao Na. 1 hapa chini kushoto, wanakubaliana kwamba – “Elohim, (wakati mwingine El au Elah likimaanisha Mungu)” na kwa namna nyingine limeandikwa “Alah” (mstari wa tatu, neno la tatu).

Hawa madaktari wanane wa theolojia waliotajwa hapo juu wasingekuwa vipofu kwa kuridhia herufi “Alah” ikimaanisha Mungu .

Je, walikuwa mbali kiasi gani na neno la Kiarabu linaloandikwa – ALLAH – kwa Kiingereza, nakuuliza ewe msomaji mpendwa?

Hii ni kazi ya Allah, lakini Shetani (lazima nimpe “S” kubwa, anastahili) hakusita kujibu upesi kupitia mawakala wake.

Alifanikiwa kuwafukuza wote wale D.D. waliowajibika kwa kosa lile, na kuwakalisha wengine tisa wenye shahada za juu zaidi kuliko wale wa kwanza.

Utawakuta katika nakala ya hivi karibuni ya “Biblia Mpya ya Marejeo ya Scofield Hutaweza tena kuweka mikono yako juu ya Biblia yenye neno “Alah” ndani yake. Shetani ameona hilo.

Mungu mwenyezi ni taasisi inayojitegemea Haina mafungamano na Dini yeyote na Haina upande!!!

Mungu hawezi gawa watu kwenye mahangaiko yenye mafungu hivi!!maumivu ya mafungu haya ni makubwa mno,Kuna watu wamepoteza maisha na uhai wao kisa haya mafungu Kuna vijana wadogo wasio na hatia wapo magerezani kwasababu ya kujiunga na makundi ya kigaidi Kwa imani hizi hizi za kidini,he mnafikiri Mungu ni katili kiasi hicho Hadi atuingize huko kote!!?

Nafsi yenye uhuru yaweza ishi maisha mazuri bila kufungamana na upande wowote!kusali na kuswali plus kufuata Sheria ni mahangaiko TU ya Bina adamu.na mizigo mizito kubeba!!

Tuendeleee kuwa huru kutokakwenye minyororo mizito ya utumwa wa kifikra!!
 
Mungu aliwaumba binadamu na kuwapa muongozo

Na bado akaleta manabii zaidi ya laki 2 na vitabu 4 Ili binadamu wote wakae katika muongozo mmoja

Sasa kama wewe umeamua kutoka nje ya muongozo Wala usimlaumu Mungu

Na Mungu alijua kuwa Kuna watu wabishi na watakataa kufuata muongozo wake ndio maana amewaandalia Jahanamu
 
Kinyume chake Ndo Mtume wa Shetani alichokuja waambia majini na watoto wa shetani. Ndo maana alikuwa na tabia zote za kishetani. Ubakaji, ulawiti, kuvaa nguo za mke wake Aisha ili apate wahyi, kukojoa amechuchumaa, kufumaniwa anagegeda mfanyakazi.

Kwenda oa jimama limtunze, kurogwa , kuwa na kichaa wakati mwingine kiasi hajui kama katiana na wakeze au laaah... Yaani Muddy alikuwa kituko na mtumwa wa shetani. Na dhambi zake ni zile pendwa ndo maana hata mimi kwa tabia zangu ni mfuasi wake.

Sema kwenye kuoa katoto kadogo hapo kanizid hapo inatakwa ujasiri kama wa shetani kabisa na kunyonya ndimi za hassain na hussein. Nilichoka kabisa. Kisha akaja lambwa yeye na ulimi wa shetani akaona wa baridi. Akamsilimisha awe muislamu. Ndo maana waislamu wanaongezeka kila siku.
 
Swali langu ni kwamba ;
Kama angetamka ALLAH maana yake ni nini ?
Kwa Kiarabu Allah ni Mungu ila kiuhalisia hana sifa za kuwa Muumba, ukiifuatilia Quraan yenyewe utagundua Allah ni shetani na Muhamad ni mtume wake.
 
Ngoja nisome comments kwa kweli
 
Mirembe mna computer ? Au umekimbia?
 
Sioni shida yoyote kwenye huo uandishi ni matumizi ya herufi na sarufi kwenye lugha husika. Kuna yeyote anakataa kutumia Allah ikimaanisha Mungu?
 
Mirembe mna computer ? Au umekimbia?

Kinyume chake Ndo Mtume wa Shetani alichokuja waambia majini na watoto wa shetani. Ndo maana alikuwa na tabia zote za kishetani. Ubakaji, ulawiti, kuvaa nguo za mke wake Aisha ili apate wahyi, kukojoa amechuchumaa, kufumaniwa anagegeda mfanyakazi.

Kwenda oa jimama limtunze, kurogwa , kuwa na kichaa wakati mwingine kiasi hajui kama katiana na wakeze au laaah... Yaani Muddy alikuwa kituko na mtumwa wa shetani. Na dhambi zake ni zile pendwa ndo maana hata mimi kwa tabia zangu ni mfuasi wake.

Sema kwenye kuoa katoto kadogo hapo kanizid hapo inatakwa ujasiri kama wa shetani kabisa na kunyonya ndimi za hassain na hussein. Nilichoka kabisa. Kisha akaja lambwa yeye na ulimi wa shetani akaona wa baridi. Akamsilimisha awe muislamu. Ndo maana waislamu wanaongezeka kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…