Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

Kwa mfano ungekuwa wewe ndio mwandishi wa habari ungeuliza maswali gani. Tupe mfano wa maswali matano
 
Nilikuwa najiandaa kuleta uzi wenye maudhui sawa na yako,Kwa kweli ni aibu tupu mpaka Gamondi anamshangaa muandishi wa habari Kwa aina ya swali alilouliza
Na kwenye kimombo sasa...
Tatizo wanalazimisha kuongea Kiingereza. (Japo siyo sababu saana)
EPL sijawahi ona mahojiano kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza.
 
Sasa tuamue tu, tubinafsishe sekta ya elimu, wadubai wakija kuchukua bandari,ngorongoro,mwendo kasi, Kia,SGR,nk tuwaongezee na wizara ya elimu kama kifungashio,hamna namna tena.
 
Waandishi wengi lugha ni tatizo na hawajui ku structure maswali....Wanapaswa kujifunza, waache kubweteka.
 

Attachments

  • VID_365700812_085333_965.mp4
    5.6 MB
Hii ni aibu sana. Kuna waandishi wakienda kumhoji mtu, swali la kwanza wanalouliza ni: "Unaitwa nani?". Eti mtu anajiandaa kwenda kumhoji mtu asiyemfagamu? Hawa waandishi wana mambo ya ajabu sana.
 
Shida kubwa hapa ni lugha huenda wanataka kuuliza swali la msingi sana ila jinsi ya kuliweka swali kwenye lugha ya Kiingereza ndio inaleta shida.

Nashauri kungalikua na mkalimani wa lugha ili hawa waandishi waulize kwa lugha ya Kiswahili naamini huenda tafsiri ya maswali yao ikawa imekaa vizuri zaidi.

Kwamfano lile swali Gamondi aliloulizwa kuhusu mzize nafikiri alipaniki bure tu, maana halisi ya muuliza swali ilikua pamoja nakua ana sttiker mwenye uzoefu kama Guede kwenye timu lakini akaamua kumsimamisha Mzize anafikiri ni kwa kiasi gani amemuamini mzize ambae ni youngstar over striker kama Guede,

Na si kwamba Muandishi alimdharau Mzize
 
Siku hizi uandish wa habari na utangazaji imekuwa ni losers job.
 
Waandishi wa michezo Tz ni changamoto! Naangaliaga press za makocha ikifika kipindi cha maswali nazima tv! Just imagine mwandishi anamuuliza kocha wa kimataifa " unawaogopa Yanga"[emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania haina waandishi wa habari wala vyombo vya habari
 
kwanini wanashindwa kwenda kuchukua maswali ya interview ya waandishi waliomuuliza guardiola,mourihno au klopp? wanakaa wanaanza kubuni maswali yao wanatoa maboko. bongo ubunifu zero kabisa. wanaishi kwa mazoea
 
Waandishi wa habari wapigwe msasa na short course na wapewe exposure kwenda nchi tofauti waone wenzao wanavyofanya interview.

Afcon ijayo hawa ndio wata wahoji makocha na team zitazokuja, wabadilike kuhoji kama uandishi wa udaku mpaka professional journalism.
 
Mwandishi anauliza swali, kocha kama hajalisikia vizuri akiambiwa arudie hawezi au anarudia hadi maana ya swali inabadirika.

Kingereza wanaelewa kiasi ila tatizo ni kukosa misamiati ya ngeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…