Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Siyo kuolewa ni kuoa maana nyinyi wanaume ndiyo muliolalamika.

Hakuna mwanamke amekuja humu kulalamika kwa nini haolewi na mtu wa rangi rangi.
You have a point ila kwa uzoefu wangu ni wote tu japo wanaume wanaweza kuwa wamezidi.
 
Nilijua haya mambo ya dini mtaachana Nayo mwezi wa tano ulioisha ila tumeingia Nayo mwezi wa sita Kwa Kasi ya kimondo..

Sijui tunakwama wapi wakristo asee!! Wenzetu ulaya wapo bize na teknolojia Sisi tupo bize kushambuliana maswala ya dini na race

wewe ndiyo huna akili maada huelewi inasema nn kuingilia
 
Hawataki mambo kama yaliyotokea Mwanza, ngozi nyeusi ni kudanga tu hata umhonge Mlima Kilimanjaro bado atatembeza nani yake kwa wengine
 
Mkuu yaani hadi vyoo vilikuwa kuna vya weusi na vya weupe huo si ubaguzi tayari au kuna kitu sijaelewa?
 
Mkuu yaani hadi vyoo vilikuwa kuna vya weusi na vya weupe huo si ubaguzi tayari au kuna kitu sijaelewa?
Kabla ya kuvitenga vilikuwa vinatumika kwa pamoja kwa watu wote....... ustaarabu na uchafu ndio vikaamue hivyo........

Imagine mtu mzima anajisaidia haja kubwa kwenye sink la kunawia mikono........

Mtu mzima anadumbukiza matambala ndani ya tank.......???

Mwanzo nilikuwa mwanaharakati pale niliyokuwa najionea yaliyokuwa yakifanywa na ndugu zangu.....ikanibidi nikae kimya......
 
Sitetei waafrika ila ktk jamii zenye tabia ya uchafu wahindi wanaongoza. Na sidhani kama watajenga choo kingine kuwakimbia wahindi wenzao ambao ni wachafu. Ktk jamii baguzi wahindi na waarab wapo ktk nafasi za juu zaidi. Waafrika ni wachafu lakini wakati mwingine hufanya vitu kwa kukomoa kwa sababu mshahara mdogo au ubaguzi.
 
Yap.... inawezekana maana sikubahatika kuwa na maingiliano na wahindi.....
 
Miafrika 8/10 ndoto zao ni kuolewa na rangi nyingie case in point huu uzi watu wanalalamika kwanini watu wengine wanaoana wao kwa wao hawataki wamatumbi waoane nao.
Swala hatutaki ubaguzi hatujasema au kulazimisha watuoe OK? Yani tu nacho taka ni kuishi kwa usawa kwa usawa kwa usawa bila Aina yoyote ya ubaguzi iwe rangi ima dini
 
Wayahudi wapoje?
 
Uraia wa Tanzania unatakiwa upitiwe upya kuzaliwa Tanzania kusiwape watu uraia watanzania. Tunatakiwa tuone rekodi kama wao ni wabantu Waafrika. Sio jitu limetoka kwao arabia au India halafu linapewa uraia wa Tanzania kisa waliletwa na wahindi na wengine walikuja kukusanya watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…