Tunapata wasi wasi kuchangia nyuzi kama hizi kwa kuwa tunaweza kuonekana hatuwapendi weusi Wenzetu....lakini nadhani Kuna tatizo kwenye jamii ya watu weusi.........
Kuna sehemu moja kule upanga kuna muarabu aliweka water dispenser nje ili watu wapita njia wakate kutokana na jua Kali..... lakini Cha ajabu watu wakawa wanaondoka na koki za mabomba na kuiba vikombe.......
Pahali ninapofanyia kazi kuna muingiliano wa watu weusi na weupe.....kulifanyika marekebisho ya vyoo vyote ili kuviboresha.....Ile wiki ya kwanza ya vyoo kufunguliwa baada ya maboresho ule upande unaotumika na watu weusi waliondoka na koki zote mpya na pipes......maji yakawa yanamwagika tu......
Hayo ni machache tu akini tunatakiwa tujitafakari watu weusi.....