Ni ajabu sana wafrika kung'ang'ania kuoana na ngozi nyeupe badala ya kuoana wao kwa wao tena wanalalamika kabisa bila aibu hizi story nimezisikia time and again.
Mizungu inaoana na mizungu wenzao same thing with miarabu na miasia na wanaona fahari ila kwa weusi ni tofauti, weusi wanaoana kwa bahati mbaya ila kama ingewezekana wote wangeoa/olewa na race zingine.
Leo hii mweusi popote pale akipata pesa tu cha kwanza ni kutafuta pisi ya kizungu aachene na ngozi nyeusi mfano wanamichezo Ulaya na Marekani.
Arusha masela wote wanafuga rasta ili wapate pisi za kitasha.
Pwani na Znz kila mtu ndoto yake ni kuoa/olewa na miarabu au mihindi.
Kimsingi wamatumbi wanaoana kwa ajali tu ila if given the chance hawataki kuoana wao kwa wao wangetaka kuolewa na race zingine na wanashangaa kwanini wengine hawawataki ila hawashangai kwanini race zingine wanaoana wao kwa wao.