Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Walio oana weusi kwa weusi hua hayatokei hayo ndani ya ndoa zao?

Story ya Anko wako ndio inawakilisha waarabu wote? Kila ndoa hua zina matatizo yake hapa Duniani,

Pia hujaelezea hivyo Vikwazo alivyokua anapitia ni vikwazo gani?

Kua specific funguka ueleweke.
We jamaa kweli ni mvunja barafu akili zako mgando kama barafu ebu nenda Facebook huko ndokunawafaa huku JF ni center of intelligence hupawezi
 
Wasipokuelewa hapa ndio basi tena.

Ni ajabu sana wafrika kung'ang'ania kuoana na ngozi nyeupe badala ya kuoana wao kwa wao tena wanalalamika kabisa bila aibu hizi story nimezisikia time and again.

Mizungu inaoana na mizungu wenzao same thing with miarabu na miasia na wanaona fahari ila kwa weusi ni tofauti, weusi wanaoana kwa bahati mbaya ila kama ingewezekana wote wangeoa/olewa na race zingine.

Leo hii mweusi popote pale akipata pesa tu cha kwanza ni kutafuta pisi ya kizungu aachene na ngozi nyeusi mfano wanamichezo Ulaya na Marekani.

Arusha masela wote wanafuga rasta ili wapate pisi za kitasha.

Pwani na Znz kila mtu ndoto yake ni kuoa/olewa na miarabu au mihindi.

Kimsingi wamatumbi wanaoana kwa ajali tu ila if given the chance hawataki kuoana wao kwa wao wangetaka kuolewa na race zingine na wanashangaa kwanini wengine hawawataki ila hawashangai kwanini race zingine wanaoana wao kwa wao.
 
Baba angu mrangi,kaoa mwarabu wa zanzibar alioa wakati alipopangiwa kikazi huko visiwani. Hata Mimi nimechanganya na japo mweusi lakini siwezi kuoa mwanamke wa kibara hata Kwa fimbo,ndugu zangu wote wameoa zanzibar wanawake wa kishombe sio sababu ya kuoa mwanamke wa kibara hasa hasa mweusi
 
Sio hao tu mbona ata Kwa watu wenye asili ya wachina, wajapan, na wenzao wenye asili kama hio nao ni nadra kuoa rangi nyeusi
 
Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Mkuu Kuna watu Wana chuki na kinyongo sana
Anaongea ili mradi tu bila hata uhakika
 
Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.

Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Unajua tafauti kati ya madhehebu yao na yetu waswahili? Sote ni waislamu lakini tunatafautiana madhehebu kwa hivyo usitoe hukumu kwa kitu usichokielewa.

Mfano: Wahindi Ithnaasheri wao ni Shia lakini pia ni tafauti na Bohora. Pia wako Ismaili, Hanafi na Ahmadiyya ambao wanafuata Imamu tafauti ijapokuwa wote ni Waislamu.
Waarabu wako madhehebu ya Ibadhi na wengine ni wafuasi wa Imam Malik na Hambal.

Sisi ni wafuasi wa Sunni kwa Imamu Shafi ndiyo asilimia kubwa kwa afrika ya mashariki.
 
Waarabu na wahindi niwabaguzi ilibidi watengewe sayari yao kabisa hapa sasa ni swala la kufunga na kuomba ili mungu asikie kilio chetu maana ngozi nyeusi wherever we go is regalded as monkey.
Kwann na nyie msiwabague? Ninyi ndio mnawapa vichwa kuwaita rangi ya mtume
 
Kuna anko wangu mmoja ali fall in love na binti wa kiarabu wakati wako chuo..jamaa alibadili dini akawmuoslamu..ila vikwazo alivyopitia asee daah hakuwa na hamu hadi kuna kipindi walipigana na mashemeji zake wa kiarabu hadi anko kuvunjwa mguu katika mapigano wakitaka wamchukue dada yao.

Uzuri jamaa alikuwa ni mtata sana na yeye aliwadunda sana..sema mwanamke alimuelewa sana jamaa..hivyo walizaa naye watoto watu..ila ile misuko suko haikuisha yani walikua kama paka na panya liicha ya jamaa kubadili na kufuata dini yao.hawakutaka kukanyaga kwa ile familia yani walimtenga dadayao.

Mwisho wasiku waliacha na yule mwanamke jamaa akachana na dini ya mnyazi mungu..maisha yakaendelea.

Ngozi nyeupe hasa waarabu na wahindi wanaonaga ngozi nyeusi ni kama mashetani mbwa takataka flani hivi hata uwe wa dini yao kamwe hawawezi kuthamini hata uvae baraghashia na kobazi au kujifunza lugha zao ili uendane nao utabaki kuwa takataka kwao.

#MaendeleoHayanaChama
Ata ufuge ndevu uzipake na hina
 
Tunapata wasi wasi kuchangia nyuzi kama hizi kwa kuwa tunaweza kuonekana hatuwapendi weusi Wenzetu....lakini nadhani Kuna tatizo kwenye jamii ya watu weusi.........

Kuna sehemu moja kule upanga kuna muarabu aliweka water dispenser nje ili watu wapita njia wakate kutokana na jua Kali..... lakini Cha ajabu watu wakawa wanaondoka na koki za mabomba na kuiba vikombe.......

Pahali ninapofanyia kazi kuna muingiliano wa watu weusi na weupe.....kulifanyika marekebisho ya vyoo vyote ili kuviboresha.....Ile wiki ya kwanza ya vyoo kufunguliwa baada ya maboresho ule upande unaotumika na watu weusi waliondoka na koki zote mpya na pipes......maji yakawa yanamwagika tu......

Hayo ni machache tu akini tunatakiwa tujitafakari watu weusi.....
Ni kwanini mlitenga vyoo vya weusi kivyao na whites peke yao?
 
Kuna anko wangu mmoja ali fall in love na binti wa kiarabu wakati wako chuo..jamaa alibadili dini akawmuoslamu..ila vikwazo alivyopitia asee daah hakuwa na hamu hadi kuna kipindi walipigana na mashemeji zake wa kiarabu hadi anko kuvunjwa mguu katika mapigano wakitaka wamchukue dada yao.

Uzuri jamaa alikuwa ni mtata sana na yeye aliwadunda sana..sema mwanamke alimuelewa sana jamaa..hivyo walizaa naye watoto watu..ila ile misuko suko haikuisha yani walikua kama paka na panya liicha ya jamaa kubadili na kufuata dini yao.hawakutaka kukanyaga kwa ile familia yani walimtenga dadayao.

Mwisho wasiku waliacha na yule mwanamke jamaa akachana na dini ya mnyazi mungu..maisha yakaendelea.

Ngozi nyeupe hasa waarabu na wahindi wanaonaga ngozi nyeusi ni kama mashetani mbwa takataka flani hivi hata uwe wa dini yao kamwe hawawezi kuthamini hata uvae baraghashia na kobazi au kujifunza lugha zao ili uendane nao utabaki kuwa takataka kwao.

#MaendeleoHayanaChama
"Ngozi nyeupe hasa waarabu na wahindi wanaonaga ngozi nyeusi ni kama mashetani mbwa takataka flani hivi hata uwe wa dini yao kamwe hawawezi kuthamini hata uvae baraghashia na kobazi au kujifunza lugha zao ili uendane nao utabaki kuwa takataka kwao."

[emoji56][emoji1732][emoji1787]
 
Ni ajabu sana wafrika kung'ang'ania kuoana na ngozi nyeupe badala ya kuoana wao kwa wao tena wanalalamika kabisa bila aibu hizi story nimezisikia time and again.

Mizungu inaoana na mizungu wenzao same thing with miarabu na miasia na wanaona fahari ila kwa weusi ni tofauti, weusi wanaoana kwa bahati mbaya ila kama ingewezekana wote wangeoa/olewa na race zingine.

Leo hii mweusi popote pale akipata pesa tu cha kwanza ni kutafuta pisi ya kizungu aachene na ngozi nyeusi mfano wanamichezo Ulaya na Marekani.

Arusha masela wote wanafuga rasta ili wapate pisi za kitasha.

Pwani na Znz kila mtu ndoto yake ni kuoa/olewa na miarabu au mihindi.

Kimsingi wamatumbi wanaoana kwa ajali tu ila if given the chance hawataki kuoana wao kwa wao wangetaka kuolewa na race zingine na wanashangaa kwanini wengine hawawataki ila hawashangai kwanini race zingine wanaoana wao kwa wao.
Naona pia kuna vijana hasa hi mikoa ya pwani akiwa mweupe tu na nywele dizain ya kisomali wanajitambulisha kua ni waoman ni ajabu sana nimekutana na vijana wa sample hii tanga mtu ukimcheki ni mbantu kabisa yaan
 
Back
Top Bottom