Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wahindu wa bongo wanachomea wapi maiti?
Mwanzo tulikuwa tunatumia sote kwa pamoja....lakini tatizo la ustaarabu na likapelekea mgawanyo huo.......imagine mtu anaingia maliwatoni anashusha haja kubwa kwenye sink la kunawia mikono..........Ni kwanini mlitenga vyoo vya weusi kivyao na whites peke yao?
Kwa taarifa yako Mange kaolewa na mzungu, unaishi kibaigwa au upo mwaneromango?Mzungu lazima aoe mzungu
Ataoaje mswahili na wakati mapenzi ni kizunguzungu?
Na wewe pia umo humo kwenye hiyo center of intelligence?We jamaa kweli ni mvunja barafu akili zako mgando kama barafu ebu nenda Facebook huko ndokunawafaa huku JF ni center of intelligence hupawezi
Mama yako ni mzungu?Madem weusi changamoto akiona unahela
Tu anaenda kwa mganga
[emoji28]Ndio kujinasibisha kwenyewe utawaweza waswahil
Nakuja kwenu kutoa posaPemba hata akiwa mweusi kule ni haram mpmba kuolewa na mtanganyika
Njoo huku bagamoyo, Pwani wahindi wameoa wazaramo na wakwere fresh tu.Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.
Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.
Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
Kuna mkongwe mmoja humu Jf amesema ,,ukiona watu wanaachana na mambo ya siasa Basi hasira zao watamalizia kwa DINI....Nilijua haya mambo ya dini mtaachana Nayo mwezi wa tano ulioisha ila tumeingia Nayo mwezi wa sita Kwa Kasi ya kimondo..
Sijui tunakwama wapi wakristo asee!! Wenzetu ulaya wapo bize na teknolojia Sisi tupo bize kushambuliana maswala ya dini na race
Hahaha huyu ndugu yetu hana shule hata moja...😂😂😂Kuna watanzaia wenye dini ya israel?? Uyahudi??
Siyo kuolewa ni kuoa maana nyinyi wanaume ndiyo muliolalamika.Miafrika 8/10 ndoto zao ni kuolewa na rangi nyingie case in point huu uzi watu wanalalamika kwanini watu wengine wanaoana wao kwa wao hawataki wamatumbi waoane nao.
Wanajitambulisha au wazee wao wana asili ya Oman? Sample hizi utazikuta sana maeneo ya pwani maana ni kweli wamechanganyika, sasa nyinyi naona muna hasira za bure bila sababu.Naona pia kuna vijana hasa hi mikoa ya pwani akiwa mweupe tu na nywele dizain ya kisomali wanajitambulisha kua ni waoman ni ajabu sana nimekutana na vijana wa sample hii tanga mtu ukimcheki ni mbantu kabisa yaan