Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Ni kwanini mlitenga vyoo vya weusi kivyao na whites peke yao?
Mwanzo tulikuwa tunatumia sote kwa pamoja....lakini tatizo la ustaarabu na likapelekea mgawanyo huo.......imagine mtu anaingia maliwatoni anashusha haja kubwa kwenye sink la kunawia mikono..........

Imagine mtu mzima anajisaidia haja kubwa alafu anatoka bila kuflash uchafu wake na maji yamejaa tele......

Mwengine unakuta anaoga sehemu ya kufanya haja na maji yanatapakaa korido nzima....... matukio ni mengi......
 
Mzungu lazima aoe mzungu

Ataoaje mswahili na wakati mapenzi ni kizunguzungu?
Kwa taarifa yako Mange kaolewa na mzungu, unaishi kibaigwa au upo mwaneromango?

Tembea ujionee wazungu wanaoa watu weusi bila shida.
 
We jamaa kweli ni mvunja barafu akili zako mgando kama barafu ebu nenda Facebook huko ndokunawafaa huku JF ni center of intelligence hupawezi
Na wewe pia umo humo kwenye hiyo center of intelligence?
🤣🤣

Kwa akili hizo hizo ulizoziweka kwenye mfuko wa shati na kuanza kufikiri kwa kutumia Pua?

Ungekua na akili ungejibu nilichouliza badala ya kuja hapa na kuanza kuharisha hovyo kama Bata.
 
Hao tunawakuza wenyewe. Utasikia mwanamziki wa bongo fleva anamsifia demu kwa kumfananisha na rangi 'shombeshombe baby!
 
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?

Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.

Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.

Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
Njoo huku bagamoyo, Pwani wahindi wameoa wazaramo na wakwere fresh tu.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Nilijua haya mambo ya dini mtaachana Nayo mwezi wa tano ulioisha ila tumeingia Nayo mwezi wa sita Kwa Kasi ya kimondo..

Sijui tunakwama wapi wakristo asee!! Wenzetu ulaya wapo bize na teknolojia Sisi tupo bize kushambuliana maswala ya dini na race
Kuna mkongwe mmoja humu Jf amesema ,,ukiona watu wanaachana na mambo ya siasa Basi hasira zao watamalizia kwa DINI....
 
Miafrika 8/10 ndoto zao ni kuolewa na rangi nyingie case in point huu uzi watu wanalalamika kwanini watu wengine wanaoana wao kwa wao hawataki wamatumbi waoane nao.
Siyo kuolewa ni kuoa maana nyinyi wanaume ndiyo muliolalamika.

Hakuna mwanamke amekuja humu kulalamika kwa nini haolewi na mtu wa rangi rangi.
 
Naona pia kuna vijana hasa hi mikoa ya pwani akiwa mweupe tu na nywele dizain ya kisomali wanajitambulisha kua ni waoman ni ajabu sana nimekutana na vijana wa sample hii tanga mtu ukimcheki ni mbantu kabisa yaan
Wanajitambulisha au wazee wao wana asili ya Oman? Sample hizi utazikuta sana maeneo ya pwani maana ni kweli wamechanganyika, sasa nyinyi naona muna hasira za bure bila sababu.

Wahindi na Waarabu wamechanganya sana na waswahili wa pwani na hata katika maeneo ambapo wameishi kama Tabora na Nzega. Sasa nyinyi munataka kulazimisha kwamba wajiseme ni makabila ya kibantu wakati siyo kweli.

Kwa kweli nynyi wabara wa maporini inferiority complex inawasumbua sana.
 
Ndio maana Mzee Karume akawalazimisha weusi wakaoe waarabu hutaki basi jela inakuhusu..
Ndio maana hadi leo unawaona mchanganyiko ---
 
Nenda jamhuri St kuna wadada poa wakihindi wako kibiashara
Pita mida kuanzia saa 12:30 na kuendele,kuna bibi kizee wa kihindi utamkuta anakaaga nje ,huyo ndy ana mchongo...
Nenda kajipigie achana na mambo ya kuoa

Ova
 
Back
Top Bottom