Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Sisi waarabu hatuwarambui hao sio waarabu
 
Kagera/Shinganga mbona wahindi na walabu kibao na wameolewa na wabongo au nyie mnaongelea wahindi na warabu wa magorofa ya NHC
 
Kwahiyo watu weusi tuanze kupigania haki dada zetu waolewe na wahindi na waarabu au tuachane nalo kwanza
Dadazako wenyewe ndo hao kujianika na kudanga nyie wenyewe mnaishia kuwazalisha ndo wataweza Culture za kiarabu na kihindi?
EE65B483-055C-4596-9115-16F454C13DBF.png
 
Nishaona wengi mmoja wapo huyu hapa muisrael /myahudi anaitwa Dan Salpeter kamuoa mwanariadha wa olympic Lenah Chemutai. Wayahudi ni kama wazungu kupinga ndoa za rangi tofauti walishaacha tangu miaka ya 1960. Wakati Waarabu na wahindi ubaguzi wao wapo karne ya 15 wanaona mwafrica ni mtumwa bado na mnyama
Acha uongo!! Ingekua waarabu hawaowi waswahili kusingekua na machotara wa kiarabu hapa TZ. Pia namjua Dada wa kihindi Pure kaolewa na Mmasai na wamezaa 2 kids! Huyo Dada anajutia kuolewa na Mmasai sababu anabaguliwa yy na wanawe huko umasaini mpaka wakafukuzwa! Mume nae ana michepuko kama yote
 
Sisi waarabu hatuwarambui hao sio waarabu
Hatuwarubui×=Hatuwatambui✓

Ni bora kutotambuliwa na waarabu kuliko kutotambuliwa na Allah kwani katika Qur'an Allah anasema"Binadamu wote tumetokana na chanzo kimoja Adam na Hawa na kutokana na hao patapatikana makabila na mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana lakini mbora wenu ni yule aliye mchamungu zaidi"{Qu'ran 49:13}

Hapo unagundua kuwa hadhi ya mtu mbele ya Mwenyezi Mungu ni kutokana na levo ya tabia njema zake na jinsi anvyoishi na watu na si vinginevyo kwa hiyo asiponitambua mtu ambaye wote tunaenda chooni na kushea mbingu na Ardhi moja ni sawa tu kwani ni ujinga wake mwenyewe.
 
Sijawahi kumuona njiwa kamuoa kunguru au simba kamuoa chui.Chui na chui ,njiwa na njiwa oeni kwenu.
 
Huku kwetu Pemba tuna kamsemo aheri shehe mlevi kuliko shehe mweusi
Dunia haikuwahi kuwa na uhaba wa wajinga . Katika Qu'ran Allah anasema "Wanadamu wote wametokana na chanzo kimoja Adam na Hawa na kutokana na hao pakapatikana makabila na mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana lakini mbora wenu ni yule mchamungu zaidi"{Qur'an 49:13}

Kwa hiyo hadhi mbele ya Mwenyezi Mungu mtu hapati kutokana na ukoo , rangi wala taifa bali ni kutokana na tabia zake njema na matendo yake.
 
Ase mwenye anaweza nipa connection ya kupata binti wa kihindi au mwarabu afanye hivyo maana mwarabu niliekuwa nae sahivi analiwa kimasihara na akina Konde na reyvan
 
Tabora hapo kuna waarabu kibao wanaolewa na kuoa weusi
Hao ni Waarabu koko wenye njaa.

Watu weusi ni tatizo dunia nzima. Sio wabunifu wala Wagunduzi

Ni watumiaji wa ready made, wanatumia vitu vilivyoandaliwa na wengine na hawatumii kwa usahihi...ni Waharibifu tu.

Wape silaha, watapigana vita vya kuuana wenyewe kwa wenyewe

Wape pesa watatamba mji mzima na kujionesha na kufanya starehe hasa ngono itamtawala...mcheck Mayweather Jr.
 
Tamaduni za asilimia kubwa ya watu weusi mfano Tz tuichukulie bara tamaduni zenu haziendani sana na waarabu
Nenda mikoa ya pwani ,tabora ,shinyanga, singida ,hata kagera washafanya engagement sana hyo ni mikoa ambayo wanajistiri wanawake wao

Nyie mliobaki na uzungu wenu ni mungu ila wapo waarabu wamezaa na watu wengine maana wapo wa ovyo pia
 
Issue ni kwamba sisi black race ndo dampo la dharau anakudharau mzungu anakudharau mchina anakudharau mwarabu ukikaa ovyo ni muarabu wa kipemba anakuchukulia poa na ukiwa Lofa utakuta mtu wa kabila flani nae anakudharau
 
Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.

Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Uongo mnafiki mkubwa wewe, acha upotoshaji dini ya kiislamu inapinga ubaguzi, tunaswali pamoja na hakuna msikiti wa waarabu na waafrika ,acha uzandiki, maluuni ww
 
Fanya utafiti vzuri, ndoa zipo nyingi xn baina ya waarabu na wahindi na waswali, tembea Tanga, Tabora, Mwanza ujionee
 
Ni ajabu sana wafrika kung'ang'ania kuoana na ngozi nyeupe badala ya kuoana wao kwa wao tena wanalalamika kabisa bila aibu hizi story nimezisikia time and again.

Mizungu inaoana na mizungu wenzao same thing with miarabu na miasia na wanaona fahari ila kwa weusi ni tofauti, weusi wanaoana kwa bahati mbaya ila kama ingewezekana wote wangeoa/olewa na race zingine.

Leo hii mweusi popote pale akipata pesa tu cha kwanza ni kutafuta pisi ya kizungu aachene na ngozi nyeusi mfano wanamichezo Ulaya na Marekani.

Arusha masela wote wanafuga rasta ili wapate pisi za kitasha.

Pwani na Znz kila mtu ndoto yake ni kuoa/olewa na miarabu au mihindi.

Kimsingi wamatumbi wanaoana kwa ajali tu ila if given the chance hawataki kuoana wao kwa wao wangetaka kuolewa na race zingine na wanashangaa kwanini wengine hawawataki ila hawashangai kwanini race zingine wanaoana wao kwa wao.

Umemaliza kila kitu Mkuu.

Watu weusi wao wenyewe walishajikataa, Lakini unawakuta wanalalamika kwanini watu wa jamii nyengine wanawakataa.
 
Back
Top Bottom