Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Mimi kabisa niwe karani? Mimi nachowaza Kuja kuwa raisi, wewe unanieleza story za ukarani. Pumba kabisa wewe
 
But huwezi kuwacompare na ticts
 
Nyie watu Ni mazuzu , kwahiyo Kama ticts hawana ufanisi unataka waachwe kisa Ni wa kanda ya ziwa wenzenu au? Si kutwa mnalalama hapa bandarini mizigo inachelewa sna??!

Yaani mitanzania Ni watu wa lawama mnoo
 
Terms and Conditions zinasemaje ?

Mimi nalilia transparency tu...., haya mambo ya jumla jumla bila kujua tutashindwa kujua kama Ndugai alikuwa Mpayukaji au Mwenye Maono....

Hata kama deal ni nzuri tufahamu na kama mbaya tujue pia..., Once Bitten, Twice Shy....
 
Niliadika thread hapa kama week mbili kuhusu haya mambo ukafutwa, nikandika thread ya malalamiko comment kalibia zote ziliondolea
 
Ni wajinga tu wanaoendekeza fikra za kidini kwenye mijadala yenye maslahi mapana kwa nchi
 
Hawa waarabu ni waharibifu wataharibu nchi yetu
Angalia mfano wa loliondo,ukifika loliondo ni kama upo uarabuni

Nakuhurumia nchi yangu hawa waarabu ni watu wa hovyo kabisa tuombe Mungu apatkane kiongozi atakaewafurusha
Kwahiyo Bora waisrael wanaohamasisha mffirane minduku
 
Vituo Vya Mafuta Kila Hatua Tano, Maana Yake Uchumi Unakuwa Sana
 
Mi mtanzania uarabu niutoe wapi?
Yaani mi mwenzio naona kama awamu hii ikiemdelea, waarabu watapewa hata contract ya kufundisha Nursery school. Nasikia Zanzibar airport nayo itakuwa ni moja ya wilaya za Dubai. Maendeleo hoyeee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa kwani Wajomba wakipewa bandari kuna ubayaa ganii sisi acha tuendelee kukamuliwaa tozooo.. maana ndo chanzo cha mapato ambacho hii serikali imeona kinafaaa!! Hizo bandari na migodi inaona iwaachie wazungu tu
 
Kama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu

Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Bora mwarabu kuliko mchna, hata hivyo-ticts walishafikia kiwango cha mwisho kabisa cha uwezo wao kipind fulani, kukawa na controversies nying kuhusu utendaji wao, hadi kikwete mwenyewe(Kikwete kabisa) akashtushwa na hali ya bandari, akaenda na kupiga mkwara mzito pale, kipind hicho m-bia au ya wezekana ndiye mmiliki wa Ticts alikuwa bado yupo kwenye ofisi ya Umma, wa Tanzania wakalalamikia Ticts, rais naye akailaumu Ticts, lakin with impunity or whatsoever Ticts wakalamba extension ya mkataba!! Wakapewa tena mkataba mkubwa kuliko ule waliou under perform, mawimbi yakatulia na bandari ikaendelea kuzorota, Leo ndiyo mnani ambia kuwa kumbe Ticts bado wapo, ajabu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…