Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Ni hivyo tu, UKINIITA KAFIRI KWA KUTOKUWA MUISLAMU, NITAKUITA KAFIRI PIA KWA KUWA KWAKO MUISLAMU.
Kama unakufuru ni kafiri tu, si laima uambiwe, ipo ndani yako hiyo.

Ile mtu kukwambia ni kuku "provoke", hata kama ni kafiri kweli haileti picha nzuri mtu kukuchokoza.
 
Kwao kaffir maana yake ni nini?
Inawezekana wapo sahihi tu kwa tamaduni za kiarabu
 


Asilimia zako hazipo sawa, hapo nimeyaainisha maneno yanayotokana na Kiarabu kwa uchavhe tu, asilimi ngapi hapo?

Kukikimbia Kiarabu kwenye Kiswahili ni kama kujaribu kukikimbia kivuli chako.
 
Hayo ni mawazo yako na upo huru kwa muono wako finyu.

Mimi nitowe katika hao wote, mimi siyo kafiri.
Kwa sababu humuamini Mungu mmoja aliyeumba Mbingu na Nchi ninayemuamini mimi wewe ni kafiri tu kwangu!!!! Mimi simuamini Allah.
 
Hakuna watu wanazingua kama wamorocco.
Mimi huwa nawachukia sana aisee hawa wamorocco.
 
Musisahau na nyinyi huwa munawaitaga wavaa kobazi.

Nb. Mbaguzi akibaguliwa huisi ameonewa.
 
Ni haki Yako kuitwa nyani siku njema
 
Apo kinachotakiwa ashinde match zote awaoneshe u mwamba achukue ubingwa. Basi mbona pitso tulikua atusikii izo misri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…