"mtenda akitendewa, huona kaonewa". Umenikumbusha:Musisahau na nyinyi huwa munawaitaga wavaa kobazi.
Nb. Mbaguzi akibaguliwa huisi ameonewa.
Yeah, iko hivyo. Ni sawa na vile watu wa dini walivyo malimbukeni na mahayawani, IPO ndani yao sio lazima waambiwe.Kama unakufuru ni kafiri tu, si laima uambiwe, ipo ndani yako hiyo.
Ile mtu kukwambia ni kuku "provoke", hata kama ni kafiri kweli haileti picha nzuri mtu kukuchokoza.
Umechelewa jamvini katamu imeshaliwa, wala hunipati kwa hilo, jaribu lingine tena.Wewe ni kafiri ndio maana ulipoteza bikra yako kabla ya ndoa
Point yangu ni kwamba kama mwili wako tu haukuuheshimu mpaka ukazini kabla ya ndoa itakuwaje uziheshimu hizo sheria za huyo Allah wako?Umechelewa jamvini katamu imeshaliwa, wala hunipati kwa hilo, jaribu lingine tena.
Mimi sijaona hayo kwa mtu anaifata dini.Yeah, iko hivyo. Ni sawa na vile watu wa dini walivyo malimbukeni na mahayawani, IPO ndani yao sio lazima waambiwe.
Haileti picha nzuri kuwaambia hadharani kama tu amewekea mipaka ya ustaarabu uhayawani wake, hata kama kiuhalisia iko hivyo.
Hiyo ni "provocation" ambayo kwangu utadunda tu.Point yangu ni kwamba kama mwili wako tu haukuuheshimu mpaka ukazini kabla ya ndoa itakuwaje uziheshimu hizo sheria za huyo Allah wako?
Wastaarabu.Naona waarabu wa shunguribha mumechafukwa
Huna hoja zozote you're brainwashed jinga weweHoja zake zimekushinda sasa unalivaa binafsi hilo "jinga"?
Au umemaanisha jinga la moto, limkuchoma?
Miundo ya Kiswahili ni 99%+ ya Kibantu.Asilimia zako hazipo sawa, hapo nimeyaainisha maneno yanayotokana na Kiarabu kwa uchavhe tu, asilimi ngapi hapo?
Kukikimbia Kiarabu kwenye Kiswahili ni kama kujaribu kukikimbia kivuli chako.
Mi kafir kama msemavyo waarabu wa bongoWastaarabu.
Vipi wewe, siyo mstaarabu?
mbona hata unachoandika hakieleweki ? Wewe ni kafiri kwasababu umezini ukapoteza bikra yako sasa iweje leo useme wewe unazifuata sheria tangu unapata ufahamu?Hiyo ni "provocation" ambayo kwangu utadunda tu.
Ukiona mtu kazini hata mama'ko nyumbani mwabie kweli kuwa anafanya ukafiri.
Mama'ko kaolewa kwa ndoa?
Kwanza wacha porojo, hakuna lughha inayoitwa kibantu.Miundo ya Kiswahili ni 99%+ ya Kibantu.
Msamiati wa Kiswahili ni 60%+ ya kibantu
Matamshi ya Kiswahili ni 90%+ ya Kibantu
Lugha iliyoathiri zaidi Kiswahili ni Kiarabu kikiwa na 30%+ ya msamiati katika Kiswahili. Hayo yote ni matokeo ya kukaa kwako kwa muda mrefu Tz kama wakoloni.
Mwabie=Mwambie au una mafua leo?Hiyo ni "provocation" ambayo kwangu utadunda tu.
Ukiona mtu kazini hata mama'ko nyumbani mwabie kweli kuwa anafanya ukafiri.
Mama'ko kaolewa kwa ndoa?
Kutokuona hayo, kwa MTU anayeyaona hayo katika dini ni ushahidi wa hoja yake juu ya Ulimbukeni na Uhayawani.Mimi sijaona hayo kwa mtu anaifata dini.
Naona hayo watu wakikwaruzana ndiyo huanza kutoleana maneno machafu na makali.
kama ni kagfiri anajulikana, hauna hayja ya kumkubusha ukafiri kwa maneno. Hapo kutakuwa kuna sababu iliyo trigger. Ndiyo inakuja ile " mtenda akitendewa huona kaonewa".
Sasa mambo ya kafiri yamefikaje uwanjaniMbona katika maelezo yako inaonekana ni mtu MMOJA tu ndiye amemuita hivyo?? Lakini heading inasema Waarabu (pamoja na kwamba umeandika "Warabu") ukimaanisha ni wengi.
Kwa upande mwingine mbona humu JF baadhi ya Waislam huwa wanasema neno Kaffir siyo tusi?!!! Wanasema maana yake ni mtu ambaye hamuamini au kumuabudu Allah!!
Kwa kuwa kila mtu anamuabudu Mungu anayemuamini yeye basi kama mimi naamini Mungu Baba muumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na mtu mwingine haamini ninayoamini mimi na yeye ni Kaffir!!! Kama wengine wanaamini Ng'ombe ndiyo Mungu, mimi ambaye siamini hivyo ni Kaffir kwa mtu huyo.
Kwa hiyo let us take things SIMPLE or EASY!!! AMINI UNACHOAMINI. Kila mtu ni Kaffir kwa mtu anayeamini tofauti na mwingine.
Edit post yako kabla wengine hawajafanya then wakuambie " huko shuleni mlienda kusomea ujinga" 🤣🤣🤣Mimi sijaona hayo kwa mtu anaifata dini.
Naona hayo watu wakikwaruzana ndiyo huanza kutoleana maneno machafu na makali.
kama ni kagfiri anajulikana, hauna hayja ya kumkubusha ukafiri kwa maneno. Hapo kutakuwa kuna sababu iliyo trigger. Ndiyo inakuja ile " mtenda akitendewa huona kaonewa".