Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Nitaanza kaka ratiba zilikua nyingi sana, ikafikia hatua naenda kulala saa tano
Naamini ukianza kusoma utagundua mambo mengi na utaanza kuleta nyuzi humu kushare na wengine mambo uliyo jifunza
 
Ishiiiiii!!! Kwani hawa wa huku walilazimishwa wawe waislam? Si kiherehere chao tu.Wewe hushangai mtu mweusi kuwa muislamu harafu utegemee mwisho wa siku ukafanye ngono peponi na bikira wa kiarabu!!!!!!???? Kama sio uchizi ni nini. Utazani kwa akili ya kawaida yule Osama bin Laden au yule kiongozi wa Hamas aliyeuliwa kiboya kule Iran wanaweza kukubali dada zao wapigwe miti na mtu kutoka SIMIYU au GEITA kisa nae amekalili sijui kile kitabu cha Quran.
 
Hao sio waislamu wa kweli, ni vibaraka wa zionism
Yamekuwa hayo tena? Osama si ndo alikuwa mmiliki wa alqaida!!!!!???? Na Alqaida si nimojawapo ya magenge ya kumpigania Allah!!!! Humtendei haki Osama kumbagaza
 
Nani kakuambia Warabu hawasaidii umewahi fatilia Gulf states zinavyo saidia masikini, hebu soma hapa utaona mpa wakristo mnasaidiwa haswa wafrica 😄 Mpaa US anasaidiwa na warabu.

 
'Eti wataulizwa na Mungu wao'!

Hivi kutatokea siku wanadamu watawekwa kikao cha hadhara na Mwenyezi Mungu aanze kuwahojiwa maswali ambayo tayari ana majibu yake?

Kwa nini Mungu mnamchukulia poa sana na kumvisha sura ya mtu yenye madhaifu kibao?

Kwa nini mnamtweza M/Mungu kiasi hiki?
 
Hivi Allah na Mungu ni vitu viwili tofauti?
 
We watu wanakuambia Mungu ni binadamu. Afu alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe unawaona wako sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…