FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."
Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.
Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.
Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.
Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi