Vikwazo vyanini?! Kinachotakiwa ni DialogueKagame anahitaji vikwazo vya mabeberu Ili kukomesha hizo vurugu.
Lazima atatoa kipande cha ardhi.Sawa sawa ila hata yeye Nangaa akifanikwa kuchukua nchi ni Yale Yale tu ya Muzee Kabila maaana atakua kaingizwa madarakani na Wanyarwanda. Je wamekubaliana nn ili yeye afike Kinshasa?
Sijajua ila ujue kuwa kila kitu kinaenda Kwa Hatua... Hatua ya kwanza nadhani ni kumtoa Felix ,then waangalie Hatua ya pili, ila ni ngumu Yale majimbo kuwa chini ya M23Duh!
Hakuna another option?
Vipi usalama wa Tanzania utakuwaje kama M23 wakifanikiwa kwenye hili?
Kwa sababu nayaona kama ya majimbo hayo kwa baadaye kujiunga na Rwanda na kufanya nchi zilizoamua kisheria kuungana.
Ni kama majimbo ya Ukraine kujiunga na Russia.
Mkongo sio mtu wa kukubaliana nae anakugeuka mara Moja, kama Muzee Kabila alivyowageuka Wanyarwanda waliomuingiza madrakaniLazima atatoa kipande cha ardhi.
Unafikiri makubaliano yatakuwa ni yapi?
Hii hali naiona bado ngumu!Sijajua ila ujue kuwa kila kitu kinaenda Kwa Hatua... Hatua ya kwanza nadhani ni kumtoa Felix ,then waangalie Hatua ya pili, ila ni ngumu Yale majimbo kuwa chini ya M23
M23 wao wako pale kuwablock FDLR Kwa kupitia vita hivi means wanaenda kukutana huko misituni
Felix yeye angewapa silaha wale FDLR ili huko porini kipigwe haswa
Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.Vikwazo vyanini?! Kinachotakiwa ni Dialogue
My Proved hebu silikiliza hii video halafu tujadiliane.
View: https://youtu.be/du9itFQZkQE?si=T9v41bzzQ2bGVWmN
Ilihali hili M23 analijua!!!Mkongo sio mtu wa kukubaliana nae anakugeuka mara Moja, kama Muzee Kabila alivyowageuka Wanyarwanda waliomuingiza madrakani
Kipindi Felix anaingia nilikua kule ,na nilitoa maoni yangu humu Nini afanye kule east, ila mwanzo nilijua ni matatizo tu ya kawaida kumbe ni tofautiIlihali hili M23 analijua!!!
Kwa sababu itakuwa ni history inajirudia.
Kwa hali ya namna hii kama mapigano yanachukua hii sura pengine tunaweza kutabiri tutaiona Congo ya namna gani?
Mkuu Proved.Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.
Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Unaulizaje kama hujui kinachoendelea huyo kiongozi wa waasi anaongea kiswahili cha sinza kabisa wakati tshekedi hata kiswahili hajui wewe utakaa upande wa nani na utahisi mwenzako ni nani..?Duh!
Hakuna another option?
Vipi usalama wa Tanzania utakuwaje kama M23 wakifanikiwa kwenye hili?
Kwa sababu nayaona kama ya majimbo hayo kwa baadaye kujiunga na Rwanda na kufanya nchi zilizoamua kisheria kuungana.
Ni kama majimbo ya Ukraine kujiunga na Russia.
Sasa vikwazo Kwa waasi? Mbn ni km kujisumbua tuMkuu Proved.
Kwa namna moja ama nyengine unafikiri vikwazo vinaweza kuchangia kulinyong'onyesha kinguvu kundi la M23 kama siyo kulimaliza?
Anafeli sana sana, na hiki kinatufanya wengi tumuone mpumbavu asiye na akili.Nilitegemea Felix angekua na mkakati wa kule east lkn nashanga anafeli namna hii
Dialogue kati ya DRC na M23 halafu DRC iwakamate FLDR iwanyang'anye silaha na kuwakabidhi Rwanda mgogoro unaisha bila ya Vikwazo wala nini.Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.
Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Kuna nukta ameigusia ndugu Proved kuwa Rwanda ipigwe vikwazo!Sasa vikwazo Kwa waasi? Mbn ni km kujisumbua tu
Vikwazo vimeanza, Umoja wa Ulaya EU wamepiga marufuku Kahawa ya kutoka Kongo sasa itabidi Wakongo wapeleke Kahawa yao Uganda Rwanda badala ya kuiuza moja kwa moja kwenye soko la Ulaya.Mwaka wa 2012/2013 baada ya vikwazo kumng'ata Kagame hatimaye Rwanda ililegeza ufadhili wake kwa M23 na mwishowe walikimbilia Uganda baada ya kushindwa na jeshi la Drc.
Bila vikwazo, Kagame ataitesa mno Drc.
Nimeona iw point ☝️ hapo juu Iko sawa ila pia Kuna mdau nae katoa ushauri juu hapoKuna nukta ameigusia ndugu Proved kuwa Rwanda ipigwe vikwazo!
Na kwa kufanya hivyo itapunguza nguvu yake ya kuliwezesha kundi la M23 na akatoa mfano kuwa hii mbinu ilitoa majibu mazuri kwa Rwanda kwani ilishindwa kuwafadhili muda fulani na hilo kundi kukimbilia Uganda.
Sasa hivyo vikundi vya kijadi vingi ni vya waluba ,watamfelisha tuHabari mpya zinasema Tishekedi ameamuru wanamgambo wa "Nyatura" waulinde Mji wa Bukavu inasemekaana Wanamgambo hao wa Nyatura wanatumia za nguvu za Giza na Uchawi kama mbinu zao katika uwanja wa mapambano.
Mimi huwa najiuliza....hivi huyu Tishekedi ni mzima kweli upstairs?!
Tamaa ya kutaka kufika Kinshansa itawaponza. Hapo kati watu wengi sana wana maslahi yao. Wangechukua tu Kivu zao mbili na kuridhika. Huyo Nangaa akubali malipo mengine mbadala wa Kinshansa.Sijajua ila ujue kuwa kila kitu kinaenda Kwa Hatua... Hatua ya kwanza nadhani ni kumtoa Felix ,then waangalie Hatua ya pili, ila ni ngumu Yale majimbo kuwa chini ya M23
M23 wao wako pale kuwablock FDLR Kwa kupitia vita hivi means wanaenda kukutana huko misituni
Felix yeye angewapa silaha wale FDLR ili huko porini kipigwe haswa
Hahahaha wazo zuri ila ktk kulitekeleza Sasa ndio ngumuDialogue kati ya DRC na M23 halafu DRC iwakamate FLDR iwanyang'anye silaha na kuwakabidhi Rwanda mgogoro unaisha bila ya Vikwazo wala nini.
Solution ya mgogoro iko wazi mbona.