Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
1. Napoleon Bonaparte
Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku.
Alihamishwa kabisa ulaya kutokana na ukorofi wake.
2. Adolf Hitler
Huyu mwamba alitawala ulaya kwa muda mfupi sana,akaogopwa,akawaonea wenzake lakini mwishowe alijiua mwenyewe baada ya kuzidiwa nguvu na jeshi la USSR na nchi yake kukubali yaishe.
3. Viladmir Putin
Ubabe wake tumeuona wengi, ujasiri wake unaonekana na hakuna nchi inayothubuti kumwingilia akiwa kwenye mgao wa dozi kwa jirani yake na ndugu yake Ukraine. Wazungu wanamtazama ila hawajui mwisho wake. Wanamzoom tu hawajui nguvu kamili aliyonayo.
Pamoja na yote itafika wakati pumzi itaisha nguvu ya pesa na jeshi vitapungua hakika ni wakati wa NATO sasa kumshambulia kwa uharibifu alioufanya na hasara aliyoiletea ulaya na dunia.
Hawezi kuvumilika siku zote labda afe kabla ya kuchoka.