BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
....Anawaonea....??Hata Wafuasi wa Hitler waliamini hivyo hivyo, haijalishi ni muda gani lakini hawezi kuendelea kuonea wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Anawaonea....??Hata Wafuasi wa Hitler waliamini hivyo hivyo, haijalishi ni muda gani lakini hawezi kuendelea kuonea wengine
Yote hayo mabaya siyaungi mkono hata kidogo.
Russia awake makombora yake Mexico unafikiri US atakubali?Kweli unaona sawa kwa mauaji ya watu yanayofanywa na Urusi?!
Achana nao wanafiki wakubwa haoSiungi mkono mauwaji ya wasio na hatia,, sina uhakika maana hata maiti zao hazionyeshwi.
Narudi pale pale![emoji1484]
Wakati iraq inavamiwa na marekani + Nato mbona hamkuonyesha huruma zenu kwa mauwaji ya watu wasio na hatia, na isitoshe rais wao akauawa pamoja na watoto wake Udai and Qusai, libya hivyo hivyo,. israel anafanya unyama wake kwa wapalestina, hivi haya yote hamuyaoni jamani!!!! Kwamba lile ni taifa teule sio [emoji16] ilaa ya ukraine imewatachi sanaee!!