Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

Anachokifanya Russia siyo kigeni. Unamkumbuka Gadhafi na Sadam Hussein?
Tofauti na Marekani ni kuwa Marekani anapiga sehemu yenye mafuta
Putin shikilia hapo hapo mpaka watu wamegeuka walimu wa somo la historia humu sisi kama warusi tuishio kitunda huku tunafarijika sana
 
Wewe una sababu zipi za kuunga mkono mauaji na uharibifu unaoendelea Ukraine?
Hata Tanzania na umasikini wetu, kwa mfano jirani na ndugu yetu Kenya awe na mpango wa kumkaribisha adui yetu akaribie mipaka yetu. Haki ya Mungu tutaingia vitani kulinda nchi yetu. Russia hawezi lalia masikio wakati Ukraine alikuwa na mipango au nia ya kujiunga na NATO. Lazima atoe somo kwa gharama yoyote ile. Jiulize kwa nini hao wanachama wa NATO Ndiyo wanatoa kila aina ya msaada wa kivita Ukraine?
 
Unataka wawe upande gani?..

Hata Tanzania na umasikini wetu, kwa mfano jirani na ndugu yetu Kenya awe na mpango wa kumkaribisha adui yetu akaribie mipaka yetu. Haki ya Mungu tutaingia vitani kulinda nchi yetu. Russia hawezi lalia masikio wakati Ukraine alikuwa na mipango au nia ya kujiunga na NATO. Lazima atoe somo kwa gharama yoyote ile. Jiulize kwa nini hao wanachama Ndiyo kila aina ya msaada wa kivita Ukraine?

Cjui nato waliwafanya nini hawa watu 😁
 
Baadae ndio lini? Tulieni sindano iingie kile chuma bwana alafu soon ile sijui kivu au kiev utashuhudia moto mzito..saluva ukarain saluva ukaraini😂😂
Hata Wafuasi wa Hitler waliamini hivyo hivyo, haijalishi ni muda gani lakini hawezi kuendelea kuonea wengine
 
Mbona kipindi anavamiwa iraq, libya na Afghanistan hamkupaza sauti!! Kwa ukrain ndio mnaonyesha huruma zenu!! Acha mrusi awanyooshe
Unaunga mkono mauaji ya watu wasio na hatia?!
 
Hata Tanzania na umasikini wetu, kwa mfano jirani na ndugu yetu Kenya awe na mpango wa kumkaribisha adui yetu akaribie mipaka yetu. Haki ya Mungu tutaingia vitani kulinda nchi yetu. Russia hawezi lalia masikio wakati Ukraine alikuwa na mipango au nia ya kujiunga na NATO. Lazima atoe somo kwa gharama yoyote ile. Jiulize kwa nini hao wanachama Ndiyo wanatoa kila aina ya msaada wa kivita Ukraine?
Kweli unaona sawa kwa mauaji ya watu yanayofanywa na Urusi?!
 
Hayo mauaji aliyoyafanya marekani kuanzia bomu la nyuklia huko hiroshima Japan hadi Iraq hadi Libya hadi afghanistan nk wewe hauyaoni au?
 
wazee wa rainbow wanahangaika sana. putin piga mishoga hiyoo.
giphy.gif
Haya majitu ni takataka.
 
1. Napoleon Bonaparte
Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku.
Alihamishwa kabisa ulaya kutokana na ukorofi wake.

2. Adolf Hitler
Huyu mwamba alitawala ulaya kwa muda mfupi sana,akaogopwa,akawaonea wenzake lakini mwishowe alijiua mwenyewe baada ya kuzidiwa nguvu na jeshi la USSR na nchi yake kukubali yaishe.

3. Viladmir Putin
Ubabe wake tumeuona wengi, ujasiri wake unaonekana na hakuna nchi inayothubuti kumwingilia akiwa kwenye mgao wa dozi kwa jirani yake na ndugu yake Ukraine. Wazungu wanamtazama ila hawajui mwisho wake. Wanamzoom tu hawajui nguvu kamili aliyonayo.

Pamoja na yote itafika wakati pumzi itaisha nguvu ya pesa na jeshi vitapungua hakika ni wakati wa NATO sasa kumshambulia kwa uharibifu alioufanya na hasara aliyoiletea ulaya na dunia.

Hawezi kuvumilika siku zote labda afe kabla ya kuchoka.
Muwe mnaacha upumbav nyie wajinga ,unaposema wazungu hao uliwaorodhesha hapo ni wamatumbi au ? ,
Halafu hao uliwaandika ni kwamba wengi wenu ni watu msiojua historia Tu mnaoanzisha threads za hovyo hapa ,kuna mtu aliwahi itwa Gengis Khan na genge lake la Mongols hawa ndio watu waliowahi chachafya Europeans kingdoms nyingi Kwa wakati mmoja na walianzia kuconqure china wakaja wakipiga kuteka na kuua mamilioni ya watu na inaaminika ndio waliosaidia kusambaza ugonjwa WA tauni na ndio miaka ambayo Roman empire ilikuwa inaanguka , hawa njemba walikuwa ni balaa walitawala mpaka Russia yote unayoisikia Leo Kwa Russia hii jamii walijulikana kama Tatars .
 
Muwe mnaacha upumbav nyie wajinga ,unaposema wazungu hao uliwaorodhesha hapo ni wanatumbi au ? ,
Halafu hao uliwaandika ni kwamba wengi wenu ni watu msiojua historia Tu ,kuna mtu aliwahi itwa Gengis Khan na genge lake la Mongols hawa ndio watu waliowahi chachafya Europeans kingdoms nyingi Kwa wakati mmoja na walianzia kuconqure china wakaja wakipiga kuteka na kuua mamilioni ya watu na inaaminika ndio waliosaidia kusambaza ugonjwa WA tauni na ndio miaka ambayo Roman empire ilikuwa inaanguka , hawa njemba walikuwa ni balaa walitawala mpaka Russia yote unayoisikia Leo Kwa Russia hii jamii walijulikana kama Tatars .
Unajifanya una akili lakini hujui hata kuandika.
Siku nyingine uwe na adabu fambaf wewe.🙄🙄
 
Huyu PUTIN anatusababishia hali ngumu ya maisha Duniani .
 
Unaunga mkono mauaji ya watu wasio na hatia?!

Siungi mkono mauwaji ya wasio na hatia,, sina uhakika maana hata maiti zao hazionyeshwi.

Narudi pale pale!👇🏾
Wakati iraq inavamiwa na marekani + Nato mbona hamkuonyesha huruma zenu kwa mauwaji ya watu wasio na hatia, na isitoshe rais wao akauawa pamoja na watoto wake Udai and Qusai, libya hivyo hivyo,. israel anafanya unyama wake kwa wapalestina, hivi haya yote hamuyaoni jamani!!!! Kwamba lile ni taifa teule sio 😁 ilaa ya ukraine imewatachi sanaee!!
 
Back
Top Bottom