Yote hayo mabaya siyaungi mkono hata kidogo.Siungi mkono mauwaji ya wasio na hatia,, sina uhakika maana hata maiti zao hazionyeshwi.
Narudi pale pale!👇🏾
Wakati iraq inavamiwa na marekani + Nato mbona hamkuonyesha huruma zenu kwa mauwaji ya watu wasio na hatia, na isitoshe rais wao akauawa pamoja na watoto wake Udai and Qusai, libya hivyo hivyo,. israel anafanya unyama wake kwa wapalestina, hivi haya yote hamuyaoni jamani!!!! Kwamba lile ni taifa teule sio 😁 ilaa ya ukraine imewatachi sanaee!!