Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

Siungi mkono mauwaji ya wasio na hatia,, sina uhakika maana hata maiti zao hazionyeshwi.

Narudi pale pale!👇🏾
Wakati iraq inavamiwa na marekani + Nato mbona hamkuonyesha huruma zenu kwa mauwaji ya watu wasio na hatia, na isitoshe rais wao akauawa pamoja na watoto wake Udai and Qusai, libya hivyo hivyo,. israel anafanya unyama wake kwa wapalestina, hivi haya yote hamuyaoni jamani!!!! Kwamba lile ni taifa teule sio 😁 ilaa ya ukraine imewatachi sanaee!!
Yote hayo mabaya siyaungi mkono hata kidogo.
 
Kwa hiyo unataka Warusi Ndiyo wauwawe. Zelensky and the west are catalysts. Full stop
Tuwe na huruma kwa wasio na hatia wanaoteseka na kufa katika vita hii ambapo wakuu wa dunia wanaona watu ni kama kuku wa sadaka. Usipende kushabikia mauaji haya na hujui kwanini yanafanyika. Wewe unafikiri ni kwa sababu ya Ukraine kutaka kujiunga NATO?
 
Muwe mnaacha upumbav nyie wajinga ,unaposema wazungu hao uliwaorodhesha hapo ni wamatumbi au ? ,
Halafu hao uliwaandika ni kwamba wengi wenu ni watu msiojua historia Tu mnaoanzisha threads za hovyo hapa ,kuna mtu aliwahi itwa Gengis Khan na genge lake la Mongols hawa ndio watu waliowahi chachafya Europeans kingdoms nyingi Kwa wakati mmoja na walianzia kuconqure china wakaja wakipiga kuteka na kuua mamilioni ya watu na inaaminika ndio waliosaidia kusambaza ugonjwa WA tauni na ndio miaka ambayo Roman empire ilikuwa inaanguka , hawa njemba walikuwa ni balaa walitawala mpaka Russia yote unayoisikia Leo Kwa Russia hii jamii walijulikana kama Tatars .
Tumekuelewa mwanahistoria
 
1. Napoleon Bonaparte
Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku.
Alihamishwa kabisa ulaya kutokana na ukorofi wake.

2. Adolf Hitler
Huyu mwamba alitawala ulaya kwa muda mfupi sana,akaogopwa,akawaonea wenzake lakini mwishowe alijiua mwenyewe baada ya kuzidiwa nguvu na jeshi la USSR na nchi yake kukubali yaishe.

3. Viladmir Putin
Ubabe wake tumeuona wengi, ujasiri wake unaonekana na hakuna nchi inayothubuti kumwingilia akiwa kwenye mgao wa dozi kwa jirani yake na ndugu yake Ukraine. Wazungu wanamtazama ila hawajui mwisho wake. Wanamzoom tu hawajui nguvu kamili aliyonayo.

Pamoja na yote itafika wakati pumzi itaisha nguvu ya pesa na jeshi vitapungua hakika ni wakati wa NATO sasa kumshambulia kwa uharibifu alioufanya na hasara aliyoiletea ulaya na dunia.

Hawezi kuvumilika siku zote labda afe kabla ya kuchoka.
NATO haishambulii nchi mpaka ishambuliwe. Na kwa Urusi ndio hawathubutu kabisa kufikiria kupigana nae.
 
1. Napoleon Bonaparte
Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku.
Alihamishwa kabisa ulaya kutokana na ukorofi wake.

2. Adolf Hitler
Huyu mwamba alitawala ulaya kwa muda mfupi sana,akaogopwa,akawaonea wenzake lakini mwishowe alijiua mwenyewe baada ya kuzidiwa nguvu na jeshi la USSR na nchi yake kukubali yaishe.

3. Viladmir Putin
Ubabe wake tumeuona wengi, ujasiri wake unaonekana na hakuna nchi inayothubuti kumwingilia akiwa kwenye mgao wa dozi kwa jirani yake na ndugu yake Ukraine. Wazungu wanamtazama ila hawajui mwisho wake. Wanamzoom tu hawajui nguvu kamili aliyonayo.

Pamoja na yote itafika wakati pumzi itaisha nguvu ya pesa na jeshi vitapungua hakika ni wakati wa NATO sasa kumshambulia kwa uharibifu alioufanya na hasara aliyoiletea ulaya na dunia.

Hawezi kuvumilika siku zote labda afe kabla ya kuchoka.
If you live in the past, the future will never find you.
 
wazee wa rainbow wanahangaika sana. putin piga mishoga hiyoo.
giphy.gif
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]

Awanyooshe mpaka akili ziwakae sawa
 
Muwe mnaacha upumbav nyie wajinga ,unaposema wazungu hao uliwaorodhesha hapo ni wamatumbi au ? ,
Halafu hao uliwaandika ni kwamba wengi wenu ni watu msiojua historia Tu mnaoanzisha threads za hovyo hapa ,kuna mtu aliwahi itwa Gengis Khan na genge lake la Mongols hawa ndio watu waliowahi chachafya Europeans kingdoms nyingi Kwa wakati mmoja na walianzia kuconqure china wakaja wakipiga kuteka na kuua mamilioni ya watu na inaaminika ndio waliosaidia kusambaza ugonjwa WA tauni na ndio miaka ambayo Roman empire ilikuwa inaanguka , hawa njemba walikuwa ni balaa walitawala mpaka Russia yote unayoisikia Leo Kwa Russia hii jamii walijulikana kama Tatars .
Muulize mbona gengish Khan hawa kuweza kumuua !?

Kama haikuwezekana kwa gengish Khan kwanini iweze kane kwa Putin ..Hilo Jamaa jinga kabisa
 
Back
Top Bottom