Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

Putin nikuambie Tuu Ataondoka Dunia kwa sababu Mwenyenzi Mungu Mtakatifu amemtaka na niwakati wake umefika
Nikuakikishie Tuu kama vita hii ikiendelea kwa miezi 6 inayokuja basi inawezekana Nato ikafa na Umoja wa ulaya ukafa maisha yamependa sana Ulaya na anayeadhirika ni mwananchi wa kawaida wataingia mitaani kuwatoa viongozi wao
Putin amewafundisha ulaya sana
Pia kumbuka Saudia Arabia amekataa kuongeza udhalishaji wa mafuta alipokutana na Biden
 
Achana nao wanafiki wakubwa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…