Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Sana umeacha mnyama Volvo, everest etc
 
Hahaha. Mchina analisha soko la magereji. Hajui kuwa baada ya mileage kadhaa kama huagizi parts mwenyewe nje utakiwa unaendesha hybrid ya europa na mchina ndani ya gari moja
European vehicles zina comply na OEM standards ukiweka feki unalipaki siku mbili tu ndio wale utasikia magari ya ulaya ogopa kumbe kapeleka kwa akina fundi maiko wazee wa kubypass kila kitu...taa za nyuma toa zinapunguza performance ya gari, thermostat hii ya kutoa mshua ni ya nchi za baridi...ukiweka michina utafurahi na nafsi yako...midude kama Audi,BMW,Benz,Volvo,Porsche nk inataka ufuate recommended part...BM kwa mfano wanashauri hata brand ya engine oil unayopaswa kutumia, wanapendekeza tyre brands nk sasa wewe jiwekee tu kwenye X3 yako tairi za Guangdong tyres kesho tutaimba 'haleluya tutaonana...'
 
Kuna parts za ujanja ujanja ukiweka kutokana na perfomance ya hizi EU cars inaweza kuwa hatari, imagine mtu anaweka parts za kichina kwenye mifumo ya breki mfano brake pads kwenye gari ina nguvu, nzito na ina mwendo kama SUV za europe halafu dereva yupo mwendo.
 
mwananchama wa ccm umechoka na hapo unaona ndio maendeleo wakati kwenu shule,maji na hospitali hakuna
 
mwananchama wa ccm umechoka na hapo unaona ndio maendeleo wakati kwenu shule,maji na hospitali hakuna
Unaweza kuthibitisha hii kauli yako, au umeamua kuja kuhororojoka hapa baada ya kushiba makande yasiyo na chumvi ili udhihirishe upopoma ulionao kichwani. Haya thibitisha wewe unaenijua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…