Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Hivi hii chuma huwa ina maajabu yeyote, ila naiona kubwa balaa.

Full sized.
Ukiziweka kwenye category moja kwa sababu zote ni higher performance SUVs...Audi Q7 ni kweli ni jumba haswa lakini ndo mbabe wa mbio namba 2 kwa hao wote baada ya mbabe BMW X5 mwenye maximum ya 523 horsepower, Q7 anakupa horsepower kubwa ya hadi 500...kwa hiyo ukiacha vigezo vingine kama tutatumia kigezo cha horsepower peke yake...kati ya BMW X5, AUDI Q5 na AUDI Q7, x5 ataongoza atafuatiwa na Q7 then bwana mdogo Q5 atakuja awafuate Kaka zake hao wawili...Q5 yeye anakupa maximum ya 362 HP
 
Aisee, huwa naona ni gari flani ya officials na matajiri, ualnakuta tajiri anaendeshwa tu. Kumbe na mbio limo.

Basi ni gari nzuri.
 
Bongo kama ulaya
 
Shukrani zote ziende kwa Boss wetu CHRISS LUKOSI. The Big Boss kwa kuleta magar ya expensive kwa Bei Ya kitonga.
#Kazi n kipimo cha Utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…