TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #241
Mkuu acha kunizeesha,mimi nina 34 tu!Halafu unakuta ninyi ni wazee vikongwe wa miaka 60 + kabisa , ila jamii forum bhana ! , si mtangaze mahali mkutane mzitwange ngumi kavu kavu kila mtu aridhike ? ,Au unaonaje ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787] amka utakojoa aiseee.Mkuu mimi nina maisha mazuri haina haja ya hiyo bahati nasibu!,Marekani huwa naenda kula Good time kisha narudi kwasababu pesa iko
Huyo ni mluga luga tu hana lolote zaidi ya "Yes" " Do you know eeeeh" and stupid stuff like that!π€£π€£π€£π€£ kweli shemeji??
Kiranga tajiri ana marafiki zake waarabu wana visima vya mafuta!!
Hili lina ukweli pia.Wewe unadhani Afrika ndiko kwenye uhuru zaidi? Mimi nadhani hili ni jambo lililopo kwenye akili yako zaidi kuliko uhasilia. Ukiwa majuu ukikutana na mzungu levi akikuambia fuc*k unaumia zaidi na kuona umebaguliwa kwa sababu ya rangi yako lakini ukiwa Bongo mlevi akikumbia ''mbwa we'' wewe unasema ''nimekutana na mlevi anatukana hovyo japo anatia huruma''. Hivyo hivyo ukilalamikia jambo na ukiambiwa rudi kwenu unaona ni ubaguzi, lakini ukiwa Bongo Mwingulu akikuambia hamia Burundi unaona ni sawa.
Wewe unaendesha gari gani?Tanzania bwana, yaani kuendesha BMW tena used ni fahari kumbe?
Ko unabishana na tajiri kiranga?? Ngoja aje hapa tajiri akwambie πππWaarab wana visima vya mafuta ama vituo vya petroli? Kumiliki kisima cha mafuta Uarabuni si kweli kwani visima vyote ni mali ya ukoo wa Kifalme, tofautisha kisima cha mafuta na kituo cha mafuta. Tatizo la kukariri vitu ni hili, yaani toka mkariri dini za watu mnakariri mpaka story za vijiweni?
Endelea kudhani watu wote ni Vikojozi!
Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?πππ nijulie wapi shemeji me naishi bonyokwa, ila tukana kasema unaishi kwenye tuapertment km kota za polisi ndio nikakuita uone.
Me najua wewe mtu mzito, vipi sasa yule rafiki ako uliyesema utaniunganisha naye π
πππ shemeji mwingine huyu anatukana BMW lako TUKANA UONETanzania bwana, yaani kuendesha BMW tena used ni fahari kumbe?
Huyo anachomiliki ni Pumbu tu na harufu ya Uvundo!πππ shemeji mwingine huyu anatukana BMW lako TUKANA UONE
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?
Chagua moja basi.
Gereji yangu ya magari huko kwenu Bonyokwa ni nyumba ya kifahari.
Rafiki yangu currently ipi hiyo unayoiongelea wewe? Ukisikia mtu anafanya kazi mbili unaelewa vipi wewe? Wewe hujawahi kufika Marekani na huijui kwanini ukaza ubongo?Brother unaongezeka mambo ya miaka mitatu iliyopita. Leo hii watu wana taaluma zao US lakini inabidi wafanye kazi mbili to get by. Mimi naongelea current situation (2023). Hadi wamarekani wanakimbilia Scandinavian country sio poa.
Ndio hapo me ninaposhangaa!!Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?
Chagua moja basi.
Gereji yangu ya magari huko kwenu Bonyokwa ni nyumba ya kifahari.
Popote duniani umewahi kufika wapi kwingine zaidi ya Tanzania? yaani uwe na basic needs, huna umeme wa uhakika, huduma za afya mbovu, mifumo ya elimu haieleweki, miundombinu choka mbaya, cycle iliyokuzunguka kila mtu analia ndio uzuri huo? ubongo unafanya kazi kweli?Well said mkuu.
Mimi naamini Tz ukiwa na uhakika wa basic needs ni kuzuri kuliko popote duniani so abroad ukoenda atleast ukirudi hata usipokua tajiri uwe tu na maisha standard uta enjoy sana.
Kiranga shemeji eti wewe Chriss Lukosi yule anayekusanya ndinga zilizotupwa unatuletea bongo, ndinga zinasoma km 300,000 dungu mawe π€£π€£π€£π€£Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.
Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
π€£π€£π€£π€£ hapo chacha shem km shemWewe unaendesha gari gani?
Umewahi kumiliki Gari?
Unadhani kwakuwa ndugu zako wanamiliki mitumba(Kuanzia chupi hadi magari) basi unadhani watu wote nchini Tanzania wanamiliki mitumba?
Kama nimejenga Nyumba ya Milioni 280 Salasala unadhani nashindwa kununua gari mpya milioni 100?
Oyooooooooo!!! Nyie leo mambo motroooo!!π€£π€£π€£π€£Huyo anachomiliki ni Pumbu tu na harufu ya Uvundo!
Unategemea Asiumie mimi kumiliki ndinga la milioni 80?
Sio kweli Mkuu mtu mwenye malengo yake hawezi kusema hivyo...Huku Ulaya ukiishapata kazi ni rahisi sana kujisahau unaanza kuiona Euro kama Tshs.
ππππ shemeji TUKANA UONE kumbe ulitaka kukopa ukanyimwa pesa eti??Huyu dogo huenda ana rafiki Marekani kaja Tanzania na kutaka kumkopa hela kwa lengo la kutomlipa, kanyimwa na sasa amekasirika ameamua kumchafua rafikiye.