Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Halafu unakuta ninyi ni wazee vikongwe wa miaka 60 + kabisa , ila jamii forum bhana ! , si mtangaze mahali mkutane mzitwange ngumi kavu kavu kila mtu aridhike ? ,Au unaonaje ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu acha kunizeesha,mimi nina 34 tu!

Huo muda wa kutwangana si bora nioshe gari yangu !
 
Halafu kule maisha yako standardized kwa kiasi kikubwa, tafsiri yao na umaskini/hali mbaya ya kiuchumi ni tofauti na huku.

Huku kwetu kuna umaskini wa kutisha, absolute poverty, watu hawawezi afford mlo, maji safi na salama, mavazi na hata makazi yao yana hali mbaya mno.

Kwahiyo mara mia kuishi nchi ambayo umaskini ni wa kimfumo, na si dhofuli hali kama huku……

Tuliojipata tukiwa nchini/ au tunaokaribia kujipata heri kwetu, tusiwakatishe tamaa wengine kwenda kujitafuta kwingine.
 
Wewe unadhani Afrika ndiko kwenye uhuru zaidi? Mimi nadhani hili ni jambo lililopo kwenye akili yako zaidi kuliko uhasilia. Ukiwa majuu ukikutana na mzungu levi akikuambia fuc*k unaumia zaidi na kuona umebaguliwa kwa sababu ya rangi yako lakini ukiwa Bongo mlevi akikumbia ''mbwa we'' wewe unasema ''nimekutana na mlevi anatukana hovyo japo anatia huruma''. Hivyo hivyo ukilalamikia jambo na ukiambiwa rudi kwenu unaona ni ubaguzi, lakini ukiwa Bongo Mwingulu akikuambia hamia Burundi unaona ni sawa.
Hili lina ukweli pia.
 
Tanzania bwana, yaani kuendesha BMW tena used ni fahari kumbe?
Wewe unaendesha gari gani?

Umewahi kumiliki Gari?

Unadhani kwakuwa ndugu zako wanamiliki mitumba(Kuanzia chupi hadi magari) basi unadhani watu wote nchini Tanzania wanamiliki mitumba?

Kama nimejenga Nyumba ya Milioni 280 Salasala unadhani nashindwa kununua gari mpya milioni 100?
 
Waarab wana visima vya mafuta ama vituo vya petroli? Kumiliki kisima cha mafuta Uarabuni si kweli kwani visima vyote ni mali ya ukoo wa Kifalme, tofautisha kisima cha mafuta na kituo cha mafuta. Tatizo la kukariri vitu ni hili, yaani toka mkariri dini za watu mnakariri mpaka story za vijiweni?
Ko unabishana na tajiri kiranga?? Ngoja aje hapa tajiri akwambie 😂😂😂
 
😂😂😂 nijulie wapi shemeji me naishi bonyokwa, ila tukana kasema unaishi kwenye tuapertment km kota za polisi ndio nikakuita uone.
Me najua wewe mtu mzito, vipi sasa yule rafiki ako uliyesema utaniunganisha naye 😜
Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?

Chagua moja basi.

Gereji yangu ya magari huko kwenu Bonyokwa ni nyumba ya kifahari.
 
Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?

Chagua moja basi.

Gereji yangu ya magari huko kwenu Bonyokwa ni nyumba ya kifahari.
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.

Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
 
Brother unaongezeka mambo ya miaka mitatu iliyopita. Leo hii watu wana taaluma zao US lakini inabidi wafanye kazi mbili to get by. Mimi naongelea current situation (2023). Hadi wamarekani wanakimbilia Scandinavian country sio poa.
Rafiki yangu currently ipi hiyo unayoiongelea wewe? Ukisikia mtu anafanya kazi mbili unaelewa vipi wewe? Wewe hujawahi kufika Marekani na huijui kwanini ukaza ubongo?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Naishi kwenye tu apartment au mimi mtu mzito?

Chagua moja basi.

Gereji yangu ya magari huko kwenu Bonyokwa ni nyumba ya kifahari.
Ndio hapo me ninaposhangaa!!
Me najua shemeji yangu mtu mzito uko NYC
Sasa shemeji yangu mwingine TUKANA UONE naye anasema we choka mbaya!!!
Hebu muelezee vizuri ule utajiri wako uliokuwa nao 😂😂😂😂
Afu kasema mpk leo unazurula hata green card huna unaishi kimagumashi 😜
 
Well said mkuu.
Mimi naamini Tz ukiwa na uhakika wa basic needs ni kuzuri kuliko popote duniani so abroad ukoenda atleast ukirudi hata usipokua tajiri uwe tu na maisha standard uta enjoy sana.
Popote duniani umewahi kufika wapi kwingine zaidi ya Tanzania? yaani uwe na basic needs, huna umeme wa uhakika, huduma za afya mbovu, mifumo ya elimu haieleweki, miundombinu choka mbaya, cycle iliyokuzunguka kila mtu analia ndio uzuri huo? ubongo unafanya kazi kweli?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.

Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
Kiranga shemeji eti wewe Chriss Lukosi yule anayekusanya ndinga zilizotupwa unatuletea bongo, ndinga zinasoma km 300,000 dungu mawe 🤣🤣🤣🤣
Si eti TUKANA UONE ??😜
 
Wewe unaendesha gari gani?

Umewahi kumiliki Gari?

Unadhani kwakuwa ndugu zako wanamiliki mitumba(Kuanzia chupi hadi magari) basi unadhani watu wote nchini Tanzania wanamiliki mitumba?

Kama nimejenga Nyumba ya Milioni 280 Salasala unadhani nashindwa kununua gari mpya milioni 100?
🤣🤣🤣🤣 hapo chacha shem km shem
Kabali yao, nipe burudani niko pembeni hapa
Sisy Joannah be careful shemeji ana nyumba ya 280millions watakuibia nyakunyaku 😜
 
Huyo anachomiliki ni Pumbu tu na harufu ya Uvundo!

Unategemea Asiumie mimi kumiliki ndinga la milioni 80?
Oyooooooooo!!! Nyie leo mambo motroooo!!🤣🤣🤣🤣
Muhudumu niongezee balimi 7 bill kwa shemeji TUKANA UONE tajiri jf nzimaaaaaa

NANI ANABISHA??!!!! 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom