TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #241
Mkuu acha kunizeesha,mimi nina 34 tu!Halafu unakuta ninyi ni wazee vikongwe wa miaka 60 + kabisa , ila jamii forum bhana ! , si mtangaze mahali mkutane mzitwange ngumi kavu kavu kila mtu aridhike ? ,Au unaonaje ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huo muda wa kutwangana si bora nioshe gari yangu !