Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Jifurahishe tu
 
Tz ni nchi ya hovyo Sana kwa kila kitu sehemu ambayo Kuna 80% ya watu hawana uhakika wa kula then huwezi ku Entertain chochote.
 
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.


Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
Kiranga ona hii akili sasa, kusikia unamiliki garage ambayo ni zaidi ya nyumba yake akili ya kitanzania imemtuma ni zile garage anazoona mitaani, trust me watanzania wana wadudu kichwani [emoji1787][emoji1787]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kijana subiri kwanza nipate msosi ndo uje unieleze takwimu zako za kiuongo na kweli !

Tumia muda kujielimisha wewe ngumbaru unayefikiri humu ndani kila mtu ni mjinga kama wewe.

Nimekuwekea hapo article usome na sina hakika kama hata utaelewa, maana kama bimmer yenyewe unaita bima

Just a quack in the making.
 
Ukirudi Bongo na uzoefu wa 5 years unapata kazi kubwa kutokana na exposure yako practically unakuwa upo mazingira tofauti kabisa you will meet people who can not deliver with a lot of excuses.
 
Huyo TUKANA UONE Ni mshamba mmoja ambaye anatafuta public sympathy

Mtu unaishi Sehemu mbovu iliojaa masikini 80% then unasema unaenjoy WTF sehemu kama Tz sio Sehemu yakujivunia
Mkuu aliyesema najivunia Tanzania nan?

Ok!,Mimi naishi sehemu mbovu ya Tanzania lakini nakuzidi kila kitu,wewe unachonizidi ni huo Udocta Uchwara pamoja na Umri tu lakini ki mafanikio utasubiri sana!
 
Ok !,Kwenye hizo Takwimu wewe ulichangia kiasi gani?

Yaani unaleta takwimu za kisiasa kwa watu wenye utimamu wa akili kama mimi unadhani nitakuelewa?

Tuachane na hizo takwimu Uchwara Sorongai wewe!,Wewe kama wewe una nini cha kujivunia Tanzania?
 
Unajua kujifurahisha sana Bi dada, sikujui, ila ni beyond reasonable doubt, kwa kutumia maandishi yako tu, hujawahi kwenda huko unakokutaja, wala huna kupato cha kukufanya utibiwe Sweden, take a break.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kaka una akili timamu!

Hivi unadhani Marekani sijawahi kuishi?,Utamdanganya nani hizo anazomiliki ni Garage?,Yaani aokote magari chakavu yaliyotupwa dampo halafu Uite gereji?

Mwambie apige picha awake hapa kama kweli ni gereji?
 
Mkuu usiwazingatie mademu wa JF tushawazoea wengi wapo depressed na singo maza wapo buza
 
Tz ni nchi ya hovyo Sana kwa kila kitu sehemu ambayo Kuna 80% ya watu hawana uhakika wa kula then huwezi ku Entertain chochote.
Wasiokuwa na uhakika wa Kula uenda wakawa ndugu zako mkuu!

Wewe jamaa unachuki sana kama watu wa Huko Musoma au Ukerewe,huwa mnawivu sana kama wachawi!
 
Nyie wanawake wa mitandaoni mnapenda attention Sana kwa huu mwandiko wako we sijui Kama umewahi hata kufika kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…