Uk, China, Ethiopia,German,Danmark,Norway,Sweden, Spain, Netherland,Gambia,Ghana,Nigeria,India,Mexico,Thailand,Turkey,Nepal na mwakani Mungu akijalia nitaenda Ivory Coast.
Ni kweli Tanzania ni nchi masikini yenye kero nyingi likiwemo hilo la umeme ila mimi,narudia MIMI napenda kuishi Tanzania huko kwingine kunafurahisha kwenda kutembea then narudi zangu home sweet home Tz.
Yrust me hakuna mtu yeyote mwenye maisha yake bongo ataenda kuishi huko maulaya na Us.
Hivi unafikiri tatizo la umeme linamuathiri kila mtu aliyeko Tz?Hivi unafikiri kila mtu aliyeko TZ anatibiwa TZ?
Mimi nikipata gonjwa kubwa nitakimbilia kutibiwa Sweden.
Tz ni jehanamu kama unaishi chini ya dola moja ila ukiwa na kakipato kazuri ka kawaida tu kuishi Tz ni raha.