Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Okay ila nijuavyo Sweden ina high living standard.Ukiwa na pepa hata ukiwa jobless unalipwa kila mwezi na kodi ya nyumba unalipiwa.
Kuna wakati Sweden ilikua nchi ya kwanza duniani yenye almost zero numbers ya vifo vya watoto wachanga.

Sweden waroto kila mtoto analipwa hadi 18 yrs.
Sweden wananchi wote,masikini na tajiri wanapata huduma za kijamii sawa na bure.Mtoto wa boss na wa jobless wako shule moja.
 
Kuna msemo , Work in $ spend in TSH
Kama utafanya kazi US au Scandinavian na una spend huko huko basi jua ukistaafu na hiyo pesheni Yako ukijanayo bongo sawa ni vijihela flani lakini lazima unauwezo wa kuishi maisha ya kawaida.
Ila kama wewe ni mbeba box na huna mafao ya uzeeni basi kile unachopata spend in THS Kwa kuwekeza ktk assets flani zikufae uzeeni ukirudi.
 
Una tatizo la kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja.Hebu kaangalie vizuri taarifa zako:-
1-Nchi gani zenye uchumi Mkubwa/big economies.
2-Nchi zenye viwango bora vya maisha duniani.
3-Nchi zenye pato kubwa kwa mtu mmojammoja.
Halafu urudi hapa kutusabahi haujagombana na mtu.
 
Soma thread acha porojo mwana usinge
 
Hivi Uzi mnausoma lakini au mnataka tu kuja kukomenti muonekani?

Nani amezungumia masuala ya Uchumi baina ya nchi na nchi?

HOJA

Ni kwanini Wabongo wengi wanaoishi Marekani,Canada na Uk wanamaisha Magumu ukilinganisha na wenzao wa Scandinavian pamoja na Germany

Hiyo ndiyo hoja lakini siyo ulichoandika wewe
 
Ungeelewa nilichokijibu kwa kutoka ndani ya boksi ulilojifungia ungezuga kwa hata kujidai haujaona nilichokiandika.
 
Samahani ndugu madwari, naona umenitaja jina hapo... ila mimi sikuwa nakula maraha kishamba namna hiyo na kuvuta maunga, ila watoto wa kitasha tu niliwabandua... na bado nawabandua sana! Sikumbuki lini nimemla demu mweusi.

Labda msomali πŸ˜‹πŸ€€
 
Sure, life limebana mpaka tunaokoteza buku buku
 
Hivi ni kweli huko Kwa watasha mnakula vibibi TU au single mothers.
Lakini SI pisi zile Kali .
 
Mim nilibahatika kukaa California-san Diego & Los Angeles ,huko Hadi wamarekani Wenyewe wanapakimbia Kwa gharama ya maisha ,pamoja na degree yangu kazi niliyofanya ni kuwaosha wazee wasiojiweza wenye umri mkubwa ikiwemo kuwatawaza ,kuwabadilisha nguo etc hizo kazi zinalipa sana aisee pia kufanya kazi kwenye ranch Moja iv...

Nchi za wenzetu Unakuta chumba kimoja ni Dola 1000$ Kwa mwezi hiyo hela ambayo Kwa tz ni millio 2 na ushee Sasa kama unakuta mpenda sifa anakodi vyumba vitatu Kodi zaidi ya 3500$ Kwa mwezi Sasa hapo Bado bills zingine etc ..kama una malengo na Tanzania Inabidi ghetto lako liwe na kitanda na vitu vichache Sana kuepuka unnecessary cost..kula Bata Kwa mahesabu Kila unachopata pigia calculation ya kuwekeza Tanzania,kule utaishi maisha magumu lakini Kwa kuwekeza huku tz utajikuta huku unakuwa tajiri hata kuweza kufungua pub ,guest house na hata kumiliki viwanja

Wengi wanajisahau sana na ndomana wakirudi wanakuwa wamepigika sana , kiukweli wengi wanarudi tz wanaona aibu hata kusema kama wamekuja kutoka marekani...maisha ukiwa na nidhamu nayo unatoboa ,mim nawakubali sana wanigeria wao wako makini sana aisee japo nao ndo kuaminika ni shida ..
 
🀣🀣🀣🀣 Ha ha ha
Shemeji Tukana BMW lako eti la mtumba umenunua likiwa linasoma km 200,000
 
100% True
 
Yaani ndugu starehe nilizoziona Berlin nikamuomba Mungu aniepushie. Maana hali ilikuwa hatare sijui ni upweke au ni nini. Nikiri kuwa japo sikutumia mihadarati kwenye kumbatona huko ni mwisho aisee. Kama club za Berghain na KitKat yaani kumbatona nje nje. Ni ka exposure fulaniflani nilienjoy sana. Wazungu sio wachoyo wanajua club wamekuja kufanya nini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…